Hivi hawa Wazungu ndiyo kusema wamegundua siri kuu?

kinyamkela mahaba

JF-Expert Member
May 4, 2022
1,181
1,574
Kwema?

Kuna kitu hakipo sawa na kinaniumiza sana, hivi hawa Wazungu ambao ndiyo waliuleta Ukristo, mbona ndiyo wanaongoza kwa uasi na maovu kiasi hiki? Tena yote ni yale yaliyokatazwa kwenye maandiko matakatifu?

Kwa nini hawaogopi? Kuanzia kulawiti, kufira, n.k! Yaani mpaka sheria zao nyingi zina favor machukuzo kwa Mungu. Ndiyo kusema wameshagundua kuwa HAKUNA MUNGU ila wanaficha ukweli kwa nguvu ZOTE ili dunia kwa UJUMLA isije kaa IJUE HILI?

Au Wazungu ni mashetani na wanatuvuta ili tuende pamoja nao motoni siku ya mwisho?

Na kama Mungu hayupo, je, ni kwa nini nikiwa naenda kanisani napata amani ya moyo? Ni kwa nini nikiwa naenda kanisani maisha yangu yanabadilika? Ni kwa nini nikiomba kitu kwa jina la Yesu na kwa kufunga(wakati mwingine), napata majibu yangu kikamilifu?

Huyo anayefanya hayo hapo ni nani?

Napata mkangnyiko, sasa kwa faida ya wengi, naomba wajuzi mlete majibu hapa ili LEO mbivu ijulikane, na mbichi ijulikane.
 
Wameshindwa kuipiga Promo Dini kuliko Ushoga,Wanatuletea sisi wao wanaenda Mars hapa ni Kupumbazana tuu.
 
Back
Top Bottom