Hivi Kitimoto ina Uspecial gani?

Swali la kizushi kidogo...Hivi kitu kinakuwa special kwa mtumiaji wa mara zote ama ni special kwa mtumiaji wa kiwizi wizi? Masharti na taratibu zizingatiwe hapa!
 
Yaani roho umeniuma! Mmenitamanisha kweli, nikirudi TZ mimi nitakula kiti moto mpaka nichanganyikiwe. Aiseee hii kitu ni tamu ile mbaya
 
Laana wewe unayeamini mila za waarabu zisizokuhusu! We mndengereko, mila za waarabu wa Oman zinakuhusus nini. Akili ndogo tu ya kukubali upuuzi without personal intuition!

Balaa ikukute wewe mtoto leo...!!! Umerogwa nini....!!!!!!
 
Nasema hivii hakunaga kama Kitimoto, hutaki ACHA!
hapa nasoma comment huku mate yamejaa kinywan ni shigidaah
 
Jamani nitoeni ushamba, hivi kitimoto kwa wakristo ni nyama special( maalum)? Kwa maana utakuta watu wanachukuana twendeni tukale kiti moto, wanafunga safari, au tutoe out mkuu tukale kitimoto, sasa najiuliza, Je hii nyama ina uapecial gani kwenye ukristo. Au kama si kwenye ukristo, uspecial gani kwa watu binafsi?
hata mm najiuliza sana kuhusiana na hili.
 
Laana wewe unayeamini mila za waarabu zisizokuhusu! We mndengereko, mila za waarabu wa Oman zinakuhusus nini. Akili ndogo tu ya kukubali upuuzi without personal intuition!
safii ni aibu kwa mtanzania kukumbatia mila za kiarabu(Islamic) wakati hapo hapo huyo anaemkumbatia anambagua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom