Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 58,042
- 134,325
Chuki dhidi ya huyu mnyama ni kubwa sana, sijui huyu mnyama aliwakosea nini kikubwa waislamu. Nahitaji kujifunza umahsusi wa dhambi ya kitimoto ni upi kulinganisha na dhambi zingine.
Muislamu atamvumilia mtu mlevi, mzinzi, muongo lakini hawezi kuvumilia kusikia kuhusu kitimoto.
Nimekuja lodge hapa, nimemuuliza muhudumu bar zipo wapi nikapate moja mbili-kanionyesha bila mgogoro wowote. Namuuliza wapi nitapata kitimoto amebadilika sura, anasema hayo mambo yeye hawezi kuzungumzia.
Jamani dhambi ya ulevi sio issue, lakini ya kitimoto ndio kali zaidi?!