Wanasema tatizo la ufisadi ktk nchi yetu ni "mfumo"ndiyo maana hata baada ya lowassa kujiudhuru mwaka 2008,umeendelea..! Me nauliza huo mfumo ni kitu gani sasa ambacho binadamu hawa(watuhumiwa)hawahusiki!??Ngoja nikusaidie kushangaa ndugu yangu.........maana watu waliokuwa wakituaminisha kuwa LOWASA NI FISADI na wakasema ushahidi wanao....leo hii wanataka kutuambia kuwa ni msafi na kumuita fisadi ni kumchafua.......kweli kuishi kwingi ni kuona mengi.........
Mfumo wa ovyo unaozungumziwa nadhani ni jinsi chama tawala kinavyo isimamia serikari kuakikisha matumizi na sera azichakachuliwi ovyo, nidhamu ya wafanyakazi wa serikari na wanachama wa vyama pia wanavyo behave.
Kikawaida kila mfanyakazi anawekewa code of conduct kutokana na malengo ya taasisi na utaukumiwa kwa kuvunja hivyo iwe usimamizi legelege wa kitengo unacho ongoza, hasara uliyoitia taifa, mwenendo wa ovyo wa kiongozi kimaadili, ubora taasisi na wafanyakazi wake katika kueshimu code of conduct, etc.
Kwa hivyo nadhani wanaposema mfumo huko ovyo serikarini kwa kweli kuna hija leo hakuna jitihada zozote za serikari despite CAG kuanzia kwa Utoh na huyu wa sasa wote kusema kuna kupwaya sana kwa kwenye management levels za serikari and lack of creativity on running most organization inayosababishia ufisadi.
Kipi kimebadilika kutatua hilo hakuna, kwa maana hiyo chama tawala bado kinalea mfumo usio efficiency kwenye kutatua tatizo la ufisadi hakuna imposition of strict adherence of code of conduct in public sector nor thorough organization function audit to rectify repeating offences and slack supervision.
Tanzania mtu anaweza jiamkia tu asubuhi na kubuni kodi bila ya kujali or introduce fees na kuchakachuwa hili taasisi yake ipate hela za kufanya tafrija na pengine kufisadi to name a few.
Mfumo ni tatizo hila CDM awana majibu yap ufisadi ni product ya utawala mmbovu na supervision mechanism iliyozaa watu kama akina Lowassa, Chnege, Karamagi et al na bado kuwepo mtaani.
Jana kwenye nchi za wenzetu kiongozi mwakilishi imebidi aachie ngazi kwaku pigwa picha anatumia mihadharati, yuko na prostitute nad his pose; hakuna alichovunja kisheria bali under the code of conduct ya kiongozi wa taifa this is unacceptable. Sasa tena kwa yale anayoleta CAG wetu ambapo kuna serious issues which could save billions if not a trillion in supervision na bado hakuna maamuzi sahihi we have a problem.
Swali Je hao watu wote wa CCM wakiamia Chadema na chama kikabaki ivoivo huo mfumo umekufa au la???????Mfumo ni Mkusanyiko au Muunganiko wa vitu au sehemu ndogo zinazounda kitu kigumu au kitu kimoja.
Kwa tafsiri hii Mfumo unaoongelewa hapa ni Mfumo wa kifisadi ambao umo ndani ya CCM na Serikali yake ambao ni muunganiko wa Watu (Viongozi) na Tasisi mbalimbali za Serikali chini ya Usimamizi wa CCM (Chama Tawala) zinashirikiana kuwezesha Fisadi mbalimbali zinazotokea Nchini.
Kutokana na ukweli huu Mfumo unajumuisha watu wengi na wakati mwigine Taasisi zaidi ya moja. Hivyo katika Mfumo huu wa Kifisadi hata ukimtoa Mtu moja bado haibadilishi kitu, japo Mtu huyu mmoja mkimtoa anweza kubadilika. Kuvunja Mfumo ni Kuondoa Msimamizi wa hawa Watu (viongozi) na Taasisi za Serikali ambae ni CCM
Yap wanayarudia yale yale wao wenyewe hawana huo mfumo thabiti wakiambiwa mkaguzi anakuja utasikia hesabu zao aziko tayari na walipata hati chafu sujui yenye mashaka kutoka kwa CAG from their accounting books.Mfumo wa CDM ni upi sasa utaolekebisha watu kwa maajabu kiasi hicho? Maana kina Zito, Arfi, Kitila, Mwigamba, Shonza, Shibuda etc walikuwa humohumo na mfumo wa CDM ulishindwa kuwabadilisha mpaka wakaitwa wasaliti.
Besides, ukiniuliza mimi naona CDM ndo wana mfumo mbaya eg kubadilisha katiba ya chama ili kuruhusu watu kubaki madarakani, kuendesha mchakato wa mgombea urais kwa usiri, kutesa wakosaji bila kufata sheria (Kagenzi) etc
Ndugu mtoa mada nakwambia kuna maajabu mengi duniani ila inabidi liongezwe ajabu jibya ambalo ni watanzania.
Yaani wanaibiwa mchana kweupe kabisa alafu hawashtuki kama misukule. Mie ngoja niendelee kusubiri Rostam, Chenge na Karamagi kukaribishwa na ukawa alafu mzee mbowe kama kawaida anakupa siasa ni dynamics tunabadirisha gia angani.
Kweli hela mwanaharamu, imenunua hadi Malaika tuliowaamini.