Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,472
Chas
Chasha ww ni mkulima/mfugaji..unajua kbs pembejeo zilivyo juu plus ununue madawa ukute fake... labda uniambie hujawah ingia shamba kbs..lakini kwa gunia kuuzwa 20000 ni bora uacheUlitaka Gunia liuzwe sh ngapi? Leta mchanganuo wa Gharama za kupata hilo Gunia moja zen tulinganishe