Hivi kilimo kitanitoa au nitaangamiza pesa?

Chas
Ulitaka Gunia liuzwe sh ngapi? Leta mchanganuo wa Gharama za kupata hilo Gunia moja zen tulinganishe
Chasha ww ni mkulima/mfugaji..unajua kbs pembejeo zilivyo juu plus ununue madawa ukute fake... labda uniambie hujawah ingia shamba kbs..lakini kwa gunia kuuzwa 20000 ni bora uache
 
Nataka nilime mahindi ila nahofia kuangamiza pesa. Je, nipande mbegu gani iliyo bora kwa kipato kingi?
Ndgu uko mkoa gani yaani kilimo unata kulimia wapi ili nikushauri zao mbadala la kulima hapo lakini mahindi wewe mwenyewe nishahidi kua hilo zao ndguye mbaazi ni jipu
 
Nakiona kilio mbele..ndugu yangu kama hela ni ya ngama na hujawai fanya kilimo maishan ndo unaanza yaan lazma ulie,trust me,hata ukifata taratib zote..so achana kabsa na hyo kitu

Ushaur..umiza kichwa kutafta mentor.yaan mtu anaelima na kufanya biashara hyo au zao lolote muda mref,.mwombe chini ya miguu yake mfanye wote step by step hata kwenye eneo moja aku guide kila kitu hata kumlipa mlipe.hapo utatoboa

Hapo kwenye nyekundu umesema kweli. soon nitaleta ushuhuda
 
Utaambiwa mengi sijawahi ona kilimo kimemtupa mtu.Cha muhimu fanya utafiti wa udongo,maji,msimu na mazingira usitupe mtaji wote kwa mpigo kwa msimu huu anza kujifanya kama hulimi kibiashara ni ajili ya kuchoma tu na ya kula msimu unaofuata jimwage panua eneo lima.Kumbuka wako kilimo hiki kiliwatoa watu.Kumbuka kukata tamaa ni sumu ya maendeleo.Watakushauri wengine humu wako Dar hata mti wa kisamvu hana wanakushauri kimasiraha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah hata mimi maneno yao yalikuwa yamesha ni-vunja Moyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom