Hivi kilimo kitanitoa au nitaangamiza pesa?

Kila la kheri ,mi nataka kujua anaefahamu Kilimo cha mahindi ya kuchoma
 
Nataka nilime mahindi ila nahofia kuangamiza pesa. Je, nipande mbegu gani iliyo bora kwa kipato kingi?
uslime mahindi, lima mpunga au maharage, pia fanya kilimo cha umwagiliaji usitegemee muvua, kwa kilimo cha mazao ya mboga mboga lima nyanya kuanzia mwezi december mavuno yake yatatoka wakati kuna demand kubwa ya nyanya huo ndio ushauri wangu
 
Mimi nalima vitunguu swaumu kwa njia ya umwagiliaji haijawahi kuniangusha japo kuna changamoto ndogondogo ya hali ya hewa
 
Nawe
Nakiona kilio mbele..ndugu yangu kama hela ni ya ngama na hujawai fanya kilimo maishan ndo unaanza yaan lazma ulie,trust me,hata ukifata taratib zote..so achana kabsa na hyo kitu

Ushaur..umiza kichwa kutafta mentor.yaan mtu anaelima na kufanya biashara hyo au zao lolote muda mref,.mwombe chini ya miguu yake mfanye wote step by step hata kwenye eneo moja aku guide kila kitu hata kumlipa mlipe.hapo utatoboa[/QU

Anaw3za toboa ila akakutana na soko bovu km serikali iliyopp madarakani...yaan tabu tupu
 
UNGELIWEKA WAZI UNATAKA KULIMA MAHINDI EKARI NGAPI!WAPI!UMEANGALIA SOKO LAKE LIKOJE!UMEPIGA HESABU ZOTE KUANZIA SHAMBA ,PALIZI,MBOLEA,MBEGU NA NK!KAMA UNA MTAJI BORA KANUNUE MAZAO MIKOANI ULETE MJINI KWENYE MASOKO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.Cha muhimu fanya utafiti wa udongo,maji,msimu na mazingira
'Utafiti wa Udongo' ni jambo jema na la maana sana. Maabara ziko wapi ama mawakala wa shughuli hizi wako wapi?
Utapimaje udongo kwa njia rahisi, rafiki na gharama nafuu?
 
Nikushauri tu mkuu... tena nakushauri km mkulima mzoefu..hebu nenda gairo kalime maharage... huwez bora ht ununue mpunga uuweke ndan..alafu mwaka huu mpunga haujapanda sana sijui y
Soko la maharage lipoje hapo gairo? Baada ya kuvuna italazimu kusafirisha hadi ddm mjini ndo upate soko?
 
Nataka nilime mahindi ila nahofia kuangamiza pesa. Je, nipande mbegu gani iliyo bora kwa kipato kingi?
Kama unataka kufanya kilimo kuwa ndiyo biashara yako nnakushauri tafuta mkulima wa zao utakalo kulilima mwenye uzoefu wa muda mrefu na anaelima kibiashara upige japo kibarua cha bure kwake kwa mwaka mzima, uzifahamu ups and downs. Ikuw huwezi hivyo basi japo uwe nae karibu kwa muda mrefu upate ujuzi.

Usikurupuke, maana naona hata mbegu hujuwi utumie ipi.

Mbegu siyo ipi tu, inapaswa uelewe mbegu ipi kwa ardhi ipi kwa kilimo kipi.
 
Nataka nilime mahindi ila nahofia kuangamiza pesa. Je, nipande mbegu gani iliyo bora kwa kipato kingi?
Wekeza nguvu kwanza kabla ya pesa . kilimo cha mazao ya chakula ni zaidi ya tatu mzuka soko huwa halitabiriki kabisa
 
Utapoteza pesa kwa asilimia 80 chakufanya hiyo hela subiri wavune nunua mazao weka stock zen subiri kipindi yatakapo panda bei uuze..kilimo ni patapotea.
 
Daaah uliona mbali sana
Aliona mbal wapi wakat sado sa hv inauzwa1500 , waliolima 2018/2019 ndo wamepiga hela, na wenyewe ni baada ya serikal kufungulia soko la nje 2019/2020 hamna kitu, Tanzania hakuna soko la mazao ya biashara , soko lipo nje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom