Hivi kilimo kitanitoa au nitaangamiza pesa?

Nakiona kilio mbele..ndugu yangu kama hela ni ya ngama na hujawai fanya kilimo maishan ndo unaanza yaan lazma ulie,trust me,hata ukifata taratib zote..so achana kabsa na hyo kitu

Ushaur..umiza kichwa kutafta mentor.yaan mtu anaelima na kufanya biashara hyo au zao lolote muda mref,.mwombe chini ya miguu yake mfanye wote step by step hata kwenye eneo moja aku guide kila kitu hata kumlipa mlipe.hapo utatoboa
 
Pole in advance.....
IMG_20180709_062758.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom