Hivi kikwete ni rais wa watanzania au mafisadi na wahindi?

nginda

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
744
82
:sad:Ni kweli nchi imewekezwa rehani kwa kutumia vitisho, vyombo vya dola (ikiwemo mchakachaji namba moja tume ya uchaguzi) na viongozi wa serikali waliowekwa kwa hisani ya uswahiba
 
Angekuwa kwa ajili ya watanzania angesikiliza uamuzi wao, angekubali kushindwa safari hii. Lakini kwa kulazimisha ushindi ni ishara kwamba si rais wa watanzania bali wa wale waliomuweka kwa manufaa yao.
 
KUNA MIKOA HATAKANYAGA HUYU KIKWETE...! lazima watampiga mawe...!

endelea kuwakumbatia MAFISADI kama vile ni ******* wako..!
 
Mfano Mbeya sidhani kama atakanyaga au maeneo ya nyamagana na ilemela
 
Back
Top Bottom