Hivi Kikwete anaweza nini?

Hivi Kikwete anaweza nini?

Geza Ulole

Platinum Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
75,641
Reaction score
107,075
Hivi ni kitu gani serikali ya Kikwete inaweza? maana hata kulipa watu mishahara kwa wakati muhafaka ni tatizo! na ukiangalia vizuri unakuta zile wizara na taasisi zilizopewa hawa ndugu zetu... mtandao cum vibarakashia cum wakwe ndo zinavurunda shoto kulia! hii sio siri ila kama kuweka usawa wajameni kati ya hawa ndg zetu kuna wale wenye uwezo yaani wanaoweza kupewa uongozi wa wizara au taasisi au jeshi on merits na waka-deliver na sio jinsi hali ilivyo sasa! Hii inakera mbona wakina Shivji hawapewi hizo taasisi nyeti wakaziendesha au ndo kujipaka matope kwenyewe kwa kupitia mgongo wa udini kwamba HATUWEZI! Tuwe wakweli jamani kwenye uvundo na kuvurundwa kwa serikali ya sasa kuna vijielementi vya watu kupewa vyeo without merits kuanzia chama, kuja serikali, jeshi mpaka taasisi! Tuondelee tu kuangalia cinema!

NB: Simchukii mtu miye ni Muislam safi niliyeelimika mweye uchungu na nchi yangu!
 
Hivi hushangai jamaa wanataka kulipa deni la Dowans wakati watumishi wa umma wanodai malimbikizo ya mishahara hawajalipwa hadi leo. Kusema kweli nchi imemshinda mkwere.:frog:
 
Hivi ni kitu gani serikali ya Kikwete inaweza? maana hata kulipa watu mishahara kwa wakati muhafaka ni tatizo! na ukiangalia vizuri unakuta zile wizara na taasisi zilizopewa hawa ndugu zetu... mtandao cum vibarakashia cum wakwe ndo zinavurunda shoto kulia! hii sio siri ila kama kuweka usawa wajameni kati ya hawa ndg zetu kuna wale wenye uwezo yaani wanaoweza kupewa uongozi wa wizara au taasisi au jeshi on merits na waka-deliver na sio jinsi hali ilivyo sasa! Hii inakera mbona wakina Shivji hawapewi hizo taasisi nyeti wakaziendesha au ndo kujipaka matope kwenyewe kwa kupitia mgongo wa udini kwamba HATUWEZI! Tuwe wakweli jamani kwenye uvundo na kuvurundwa kwa serikali ya sasa kuna vielementi vya watu kupewa vyeo without merits kuanzia chama, kuja serikali, jeshi mpaka taasisi! Tuondelee tu kuangalia cinema!

NB: Simchukii mtu miye ni Muislam safi niliyeelimika mweye uchungu na nchi yangu!

Siasa na dini haviendani hata siku moja.
Mkosoeni JK kwa utendaji wake na sio dini yake, mwishowe mtawagawa na Waislamu ambao hawamkubali JK.
 
Hivi hushangai jamaa wanataka kulipa deni la Dowans wakati watumishi wa umma wanodai malimbikizo ya mishahara hawajalipwa hadi leo. Kusema kweli nchi imemshinda mkwere.:frog:
Yaani sijui ni nini, watu walikuwa na imani naye lakini anazidi kuwaangusha!
 
Hivi hushangai jamaa wanataka kulipa deni la Dowans wakati watumishi wa umma wanodai malimbikizo ya mishahara hawajalipwa hadi leo. Kusema kweli nchi imemshinda mkwere.:frog:

Siyo hilo tu, wazee wastaafu wa afrika mashariki wanadai mafao yao miaka mingi lakini wanazawadiwa virungu tu vya polisi. Fedha hawapewi. Lakini za Downs zipo. Ndiyo serikali ya sisiem hiyo!!
 
Anaweza Kucheza kiduku, kujirusha, kupiga stori kijiweni na kunywa ghahawa barazani!
 
kucheza kiduku

ahhahahaha, kiduku kina husika lakini. Bartlett with Jakaya Mrisho Kikwete and wife at Mystic Mountain.jpg jksanaa.jpg kikwete1.JPG View attachment 20021View attachment 20022 kikwete4.jpg
 
Siyo hilo tu, wazee wastaafu wa afrika mashariki wanadai mafao yao miaka mingi lakini wanazawadiwa virungu tu vya polisi. Fedha hawapewi. Lakini za Downs zipo. Ndiyo serikali ya sisiem hiyo!!
Hii ya wazee wa Afrika mashariki ni kesi nyingine............wapi mikopo ya wanafunzi wa vyuo kila siku migomo!
 
kucheza kiduku

Haswaaa, huyu ni bingwa wa kiduku. Ni mpenzi sana wa nyimbo za Bongo Fleva na muziki wa dansi. Pia anapenda sana kuangalia movies na anawajua waigizaji wote wa Hollywood kama Brad Pitt na Angelina Jolie. Hutumia muda mwingi kusikiliza Bongo Fleva na kuangalia movie. Akisafiri nchi za nje (haswa US and Europe) hupenda kufanya shopping ya nguo, vitu vya electronics kama digital camera, latest DVD movies, music CDs, etc. Of course vitu hivi hulipiwa na pesa za kodi za wananchi.

Tofauti na Mwalimu Julius Nyerere au Benjamin Mkapa ambao walikuwa wanatumia muda mwingi sana kusoma vitabu, mostly autobiographies and other non-fiction books. JK ni mtaalamu wa mambo ya anasa.
 
Hawezi ki2.

Waalimu 16000 tangu wamemaliza mafunzo hawajaariwa wakati huo huo kuna upungufu mkubwa wa waalimu
 
Hawezi ki2.

Waalimu 16000 tangu wamemaliza mafunzo hawajaariwa wakati huo huo kuna upungufu mkubwa wa waalimu

kweli mkuu,huku kwetu shule ya kata ina walimu wawili tu kuanzia form 1-4,na shule zinafunguliwa wiki ijayo.Hivi si aliahidi walimu wa tano kila shule?
 
Siasa na dini haviendani hata siku moja.
Mkosoeni JK kwa utendaji wake na sio dini yake, mwishowe mtawagawa na Waislamu ambao hawamkubali JK.
nenda zako wewe ina maana huna habari baraza huchaguliwa na hao hao kwa kupitia utiifu wa Ndio mzee na si uwezo? Hebu angalia kiasi cha hela kinachoelekezwa UDOM na madudu yanayofanyika hata wahadhiri kushindwa kupata mishahara! si ndo yaleyale kuweka viongozi wasio na sifa ila kulamba ****** yake!
 
1. kuvaa suti maridadi
2. kuua wapiga kura kwa risasi za moto
 
Back
Top Bottom