Hivi Kazi ya TCU ni nini?

Hivi Kazi ya TCU ni nini?

teniaz

Member
Joined
May 6, 2013
Posts
39
Reaction score
34
Jamani hivi tcu mpaka leo imekiacha chuo cha mtakatifu yohana (st john dodoma) mpaka leo kina exist kwa misingi ipi? St john ni chuo cha private lakini kuna mambo ya ajabu sana ndani ya chuo, elimu inayo tolewa ni ya kiwango cha chini sana.
Lakini najiuliza hawa TCU hua wanenda kukagua?
Pale kuna vitivo vya afya, vinafuata misingi na utaratibu sahihi wa ufundishaji, inakuaje course ya kusoma semister nzima inafundishwa kwa wiki mbili au siku tatu?
Jamani TCU fuatilieni suala hili mjue uozo uliopo ndani ya kile chuo pamoja na vyuo vingine vinavyo fanana na St John.
 
Someni tu elimu ya Tanganyika ni vyeti si weledi ktk fani husika.
 
Tcu hawawezi jua km nyie course ya semester moja inafundishwa week 2 bila nyie kutoa taarifa kwao....wapeni taarifa muone km hawatafuatilia
 
Tanzania Corruption Unity (TCU) nina mdogo wangu alichelewa kuapply TCU,wametoa second round ya kuapply as a new applicant,but kila tukianza kucreate account kama wanavyosema,tukifika kwenye register au reset,kitufe hakirespond kabisa!! Nifanyeje wadau na mwisho wa application ni jumatatu 15/Sep
 
Nenda hyohyo jtatu

Poa mkuu,hawa jamaa ni wezi,hebu angalia wanafunzi zaidi ya 12,000 wamekosa vyuo mwaka huu sasa piga 50,000 x 12,000= 600,000,000/ hii pesa imeliwa na Tanzania Corruption Unity!!!
Tanzania sikupendi!!
 
Kwani mwaka huu kuna waliofaulu Form six au kuna waliofaulishwa?

Poa mkuu,hawa jamaa
ni wezi,hebu angalia wanafunzi zaidi ya 12,000 wamekosa vyuo mwaka huu
sasa piga 50,000 x 12,000= 600,000,000/ hii pesa imeliwa na Tanzania
Corruption Unity!!!
Tanzania sikupendi!!
 
Poa mkuu,hawa jamaa ni wezi,hebu angalia wanafunzi zaidi ya 12,000 wamekosa vyuo mwaka huu sasa piga 50,000 x 12,000= 600,000,000/ hii pesa imeliwa na Tanzania Corruption Unity!!!
Tanzania sikupendi!!

Hapo bado haujajumlisha zile laki moja moja za Ku-verify vyeti vya nje ya nchi kwa graduates na zile elfu 50 kwa undergraduates. Kweli jamaa ni mamilionea hawa lakini sijui kwanini utendaji kazi wao unakua hauridhishi.

Binafsi ni muathirika Wa hili, wanasema process ya kuverify ni ndani ya wiki 2 tu lakini kwasasa nakaribia mwezi na jamaa wameuchuna tu, licha ya kutuwekea requirements kibao juu ya documents za Ku attach na kuongeza gharama ya huduma hiyo kwa 100% but still hawaonyeshi uharaka Wa kushughulikia hili.
Mbaya zaidi bila wao kuverify Basi ofisini hupati promotion na wala hutambuliki ukiomba kazi kwingineko.

Sijui ndiyo hivyo tena hawa TANZANIA CORRUPTION UNIT wanataka tuwapoze kwanza au?
 
Pole sana mkuu,mi jumatatu naenda na Dogo ofisini kwao,hadi kikaeleweke,maana akiba private watamrudisha kuapply TCU tena!!!!
 
Poa mkuu,hawa jamaa ni wezi,hebu angalia wanafunzi zaidi ya 12,000 wamekosa vyuo mwaka huu sasa piga 50,000 x 12,000= 600,000,000/ hii pesa imeliwa na Tanzania Corruption Unity!!!
Tanzania sikupendi!!

Atapata tu mkuu, TCU hawabani kihivyo sema watakupangia vyuo vilivyochoka
 
matusi ya nn humu jamani haipendezi mtu mwenye akili timamu kuandika uchafu kama huu JF imeniboa sanaa

Ukiranja umepewa na nani? Wengine maswali ya kijinga yanajibiwa na majibu ya kijinga.
 
Back
Top Bottom