Hivi kati ya nyama ya bata na kuku ipi tamu?

mwenzenu kamaanisha vingine nyie mmejibu vingine.
Bata akiwa ameandaliwa kwa usafi nyama yake ni tamu sana hasa bata bikini na mauno yake, sasa ukikutana na nyama ya bata ambayo haijaandaliwa vizuri lazima utoke na shombe....nyama ya kuku tulishaizoea bana...
 
Chifu hapo ni sawa kweli? Mbona pana walakini!
 
Bata ana nyama nyingi,ila katika swala la yupi mtamu kwa uelewa wangu nahisi inategemea na nani yuko jikoni.

Wazee kuna watu wana mikono jamani acheni.
 
Back
Top Bottom