hivi kati ya mlimani city na quality centre wapi pako juu zaidi..?

quality centre ni pazuri kwa macho ila swaga zake sio kama za mlimani city bwana.piaqc wanaboa supermarket ya uchumi wakenya wale wanauza tu product zao za kenya hawana mixer pale tofauti na mlimani city ambapo shoprite wao kila brand unapata
kama shoprite watafungua brach qc hope itasaidia kubalance equilibrium
 
Quality Center

6537673759_843de01cbc_b.jpg


Mlimani City

mlimani.jpg
 
Hata mimi nipo Meku...lol

ZD mlimani siti nilidhani ni mimi tu ndo napaona hapana mvuto.....a waste of such a prime area
hahahaha Mkeku, unajificha sana bana! halafu huyo ZD huko mlimani ndo kaweka makazi sio?
Sasa Mkeku mlitaka wajenge ghorofa? mbona papo poa tu ?
 
Kwa maoni yangu QC ni pazuri zaidi ya MC kwa ndani, more choices ya vitu kuanzia restaurants, bling bling, eletronics items, music, cinema, ATMS lobbies, n.k. n.k.

Wauza sura wanaweza wasipapende sana kwa sababu uwezekano wa mtu kukuona QC ni mdogo sana compared na MC. QC kuna exit doors nyingi sana wakati MC ziko 2 tu, QC ina shopping corridors kama 10 hivi wakati MC ina mcorridor mmoja tu na hivyo kufanya watu kuonana iwe rahisi zaidi kwa mlimani city.

Advantage kubwa ya MC over QC ni parking space.
 
Nikweli Quality eneo dogo mara nyingi mimi hupita hapo kwa vile ni njiani kuelekea kwetu u/ndege parking ni issue sana vinginevyo ni pazuri.
 
Naona kuna kitu nyingine inajengwa pale darajani mkabala na Shoprite itaitwa Mkuki House. Mimoviez na mizaga mingine kama kawa itapatikana.
 
Jamani pazuri QC ila hawapati pesa kama wale wa MC.Wakazi wa maeneo ya QC ni tofauti na wakazi wa maeneo ya MC. More vibosile na wenye nazo huishi uelekeo wa MC.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom