Hivi kati ya Jay Z na Eminem nani zaidi kwenye Rap?

wee vipi wee unaweza mlinganisha MM na huyo falla mu-east coast? hata kama MM ni mzungu huwezi mlinganisha na huyo devo masonic follower
 
Nachojua hakuna rapper mkali kwenye rhymes ka eminem....+ jigger n mkali na kachange game ya hippop kwny swala la mshko ila kwa eminem swala la michano uwakilishe wawili...ni simpo eminem anatoka na ushindi
Ni wazi hujamsikiliza Jay Z, na ulipopata muda wa kumsikiliza hukumuelewa.
 
Anayeingoza kwa Pesa katia ya hao wawili ndio anajua mziki Jay Z wakitambo sna kuliko hata Eminem
 
Kiuandishi Jay Z is the tafuteni na msikilize nyimbo za Jay Z kwa makini, mstari kwa mstari yule jamaa anajua kuiandika fasihi. Fatilieni wimbo unaitwa HISTORY n.k.
 
Back
Top Bottom