gabriel Heinze
Senior Member
- Sep 18, 2020
- 173
- 247
Hata dunia iumbwe upya hakuna rapper wa kumfikia Hov, ( dream ya mwanahiphop hii dunia ).
Google list ya rapper Bora wa muda wote halafu ndo uje kuandika tenaEminem ni goat wa hip hop, hivi Mwaka gani jay z alikuwa hot kwenye game
Huyo rapper wako ana zidiwa Hadi mauzo ya album na 50 cent🤣🤓Google list ya rapper Bora wa muda wote halafu ndo uje kuandika tena
Google list ya rapper Bora wa muda wote halafu ndo uje kuandika tena
Kasema google kisha lete list tujadili bro ujue we ni Intelligent businessman . Fanya kama jina lakoHuyo rapper wako ana zidiwa Hadi mauzo ya album na 50 cent
List ipi Sasa??, maana Kuna taasisis kadhaa zina list yao..Kasema google kisha lete list tujadili bro ujue we ni Intelligent businessman . Fanya kama jina lako
Eminem ni mashine. Verse yake moja si unatoa mbili za Jigga. Jigga ni favourite kwa Style na minato, Eminem ktk punch, pumzi na kuchora linea za kibabe.EMINEM
1. lose yourself
2. no love
3. not afraid
4. love the way you lie
5. Stan
6. mockingbird
7. rap god
8. space bound
9. like toy soldiers
10. when I'm gone
Based on kila kitu, nataka nijue why unamuweka mm juu ta HOV !!List ipi Sasa??, maana Kuna taasisis kadhaa zina list yao..
Halafu basing on what?? Mauzo au!!
View attachment 2928038