Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,660
- 15,744
Ninategemea kuhama kwenye hii nyumba ninayopanga in the next two weeks.
Najua ntapelekea kilio kwa mwenye nyumba kwa kuwa, nilikuwa nampa pesa yake kwa wakati na kwa jinsi vyuma vilivyobana, nikitoka sidhani kama atapata mtu wa kumpa pesa ndefu kama niliyokuwa namlipa.
Otherwise namtakia kila la kheri na mpangaji mpya...