Hivi karatasi nazo zinarudi katika mzunguko wa uzalishaji(recyclable)?

crome20

JF-Expert Member
Feb 5, 2010
1,130
721
Kutokana na mafanikio ya kupiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastic tumeshuhudia uzalishaji wa mifuko ya karatasi kama sehemu ya mbadala wa vibebeo.

Lakini nionavyo mimi, karatasi aina zote zinaweza kuwa "recycled" kama zilivyo chupa za plastic ili kupunguza gharama za uzalishaji badala ya kutupwa tu.

Sasa nauliza hivi tuna mfumo wa ku recycle karatasi zote kuanzia magazeti, majarida, vitabu na madaftari chakavu n.k ili kiwe chanzo cha mapato kwa wajasiliamali wadogo?
 
HAINA FAIDA KWA SABABU ZIFUATAZO.
1.KARATASI ZILIZOTUMIKA NI RAHISI KUZITEKETEZA KWA KUZICHOMA MOTO TOFAUTI NA PLASTICS AMBAZO HAZICHOMEKI ZIKAISHA.
2.KARATASI HUTENGENEZWA KWA KUTUMIA MITI NA MITI HAIJAHADIMIKA MISITU IMEJAZANA HAIWEZI KUISHA LEO WALA KESHO.

Lakini nilikuwa nasoma kwenye internet kuhusu hii mada nikagundua ku recycle karatasi kuna punguza kwa 60% gharama za kuzalisha karatasi mpya kutoka kwenye mali ghafi.
 
Umenikumbusha mshua alikuwa na lundo la magazeti ameyapanga kwenye kabati akitoka kwwnye mishe zake na gazeti akimaliza analitunza kwenye kabati kwa akili za utoto nikajua baadae uko anaenda kuyauza tena watu wayanunue wakajisomee mpaka leo sijapataga jibu la kwanini aliyawekaga yale malundo
 
Back
Top Bottom