Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,061
Mkuu hii wamama lazima inawauma ndio maana wanachungulia wanatoka kimya.
Na itawauma sana mwaka huu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hii wamama lazima inawauma ndio maana wanachungulia wanatoka kimya.
Mkeo amepata nafasi ya kwenda kusoma, Pale nyumbani mna watoto wawli, mnaamua kuagiza mfanyakazi kutoka kwenu kijijni kuja kuwasaidia kazi, na siku ya kuja mfanyakazi unaenda wewe mwenyewe kumpokea, kwani mkeo alikuwa anakamilisha taratibu ili siku mbili tatu asepe.
Tahamaki ulivyomuona binti mwenyewe mapigo ya moyo yakaongezeka kasi, kwa jinsi binti alivyo mzuri.
Wasifu wa binti:
-Anaonyesha kama ana miaka 18
-Alivyotabasam tu vishimo vidogo vikatokea kwenye mashavu
-Kifuani kitu saa sita
-Tumbo lake dogo kama ajala akashiba
-Rangi yake maji ya kunde, macho kama amekula kungu manga
-Kwa ujumla binti ana mzuto wa kimapenzi
Wasifu wa mkeo:
-Ana miaka 30, lakini kama ana miaka 55
-Sura yake imemkomaa kwa ajili ya kubadili cream, mara movate, carolight n.k
-Minido hiyoo, tumbo ndio usiseme kama kala ubwabwa wa shuhurini
-Nyuma amepigwa pasi, viguu kama fito.
-Akiongea mkali kama anatoa amri jeshini.
We mwenyewe sasa handsome boy una miaka 40 lakini kama 25.
Je! mkeo atakubali ubaki na huyo mfanyakazi kweli?
NB: Mkeo uliozeshwa na wazee kijijini wala hakuwa chaguo lako
Hahahaha,hapo mtihani unakuja ukiulizwa je,...
Huyo mkeo ulilazimishwa kumuoa?
Kama hukulazimishwa na ulimpenda,basi siku zote visualize enzi unakutana nae na assume yuko hivo
saivi,.....
Na itawauma sana mwaka huu...
Sawa mkuu hata huyo simba akiwekwa banda moja na swala hapo sijui unategemea result ipi?Tamaa hiyooooooo. Ukijzoesha kila unaemuona utamtamani. Mwanamume ni kujifanya ghali na sio kukimbilia midondo. Kuwa kama simba. Huli mpaka una njaa.