Hivi Jenista Muhagama ni Uwaziri anataka??

Hivi Jenista Muhagama ni Uwaziri anataka??

Oil chafu hiyo,ameshakuwa USED sana,alinogewa na kutumika mpaka akamtelekeza mume wake,hana lolote!
aiseeeee.......bwahahahaha eti oil chafu bwahahahahahahaha....na imagine oil chafu na na relate na kule chini kulivyo bwahahaha aiseee....vijana hamna adabu aiseeee
 
Me huwa naona afadhali ya Jenista kuliko hata spika na naibu wke labda leo ameteleza au anajiandaa kuchukua nafac ya uwaziri
 
acha unazi ww niboya 2 huyo,nikanafki nakafisadi sana,mm nakafahamu sana nanitokea jimbo lake ila nko versity kwasasa hana jipya,wanananchi wamadaba walisha wahi kuzuia asiende,wino pia.kijiji chaluhimba alihadi kujenga barabara kwalami nakushusha kilima cha nguluma hajafanya hivyo yy nisauti yamahaba tu!anapo omba kula,wanaluhimba naperamiho wanamvutia kASI 2015 ATAJUA NA NENO LAKE SERIKALI SIKIVU..CHADEMA HEBU TUKALIAMSHE PANDE ZILE HAMNA MBUGE ZAIDI YAJIMAMA MASHAUZI!!
 
Nashangaa anakomaa na serikali sikivu ya CCM serikali sikivu ya CCM serikali sikivu ya CCM. Atakua amesoma kwenye gazeti kwenye mawaziri watatu wanatakiwa wajiuzulu so anaanza kusotea nafasi moja wapo. Mtu anasimama hadi anakaa bila kuongelea wananchi walio mtuma anang'ang'ana na serikali sikivu. Ingekua sikivu Kikwete si angekua kashajiuzulu?. Mia

Kusikia sio kutonda,ni serikali sikivu isiyo tendaji
 
Hili limama huwa silipendi Mungu mwenyewe tu ndio anajua.
 
Nashangaa anakomaa na serikali sikivu ya CCM serikali sikivu ya CCM serikali sikivu ya CCM. Atakua amesoma kwenye gazeti kwenye mawaziri watatu wanatakiwa wajiuzulu so anaanza kusotea nafasi moja wapo. Mtu anasimama hadi anakaa bila kuongelea wananchi walio mtuma anang'ang'ana na serikali sikivu. Ingekua sikivu Kikwete si angekua kashajiuzulu?. Mia
Waungwana Jenista Mwagama ni angalau anaongelea wananchi wake vizuri kuliko wanao LALA,3bil hazitutoshi vijana kabisaa!
 
Ulimbukeni tangu wanasoma , enzi za kuwachuja ili wawe maarufu bado inahold true.
 
Huyu mama anadhani Kikwete anatoa uwaziri bure bure kwa wanawake. Namshauri aulize wenzake wamepataje uwaziri na sio kuropokaropoka.

Nasikia huyu mama ameshatumika sana kimwili na amebaki shombo tupu.
Kikwete hana muda na hii takataka.

Big up Kikwete!!!
 
Hana sifa si angeupata uwazili enzi za waziri mstaafa sikivu kwa lipi yani haoni matatizo ya muhukuru kazi kuhonga tu wananchi kutatua matatizo ya jamii hawezi. Yaani kwakuwa yeye anakula n kushiba ndo usikivu wa serikari kweli ukiwa ccm busara yako ni ndogo kuliko busara ya mtoto wa chekechea
 
Hivi bwana yake yuko wapi huyu mama?
Nasikia Mwanaume ulishakimbia kuogopa fedheha na magonjwa ya ajabu ajabu.
Uliusoma mchezo mapema na kugundua huyu mama ni bonge la kimeo, maana hajui kusema NO.
 
Serikali sikivu na sio ongezi, wao kila mara wanangoja kuambiwa tu na ndio maana wanajiita Serikali Sikivu
 
Kwa kweli Jenista leo kanishangaza sana, anatetea vitu ambavyo havina kichwa wala miguu...ati kuna bilioni 3 zitatengwa na serikali sikivu ya CCM kwa ajili ya kutatua matatizo ya ajira ya vijana milioni 16....jamani hii ratio ya 3bilions kwa 16M mbona ni ya kusadikika sana!!!

Ratio unaipinga kwa kigezo gani? kwani umeambiwa serikali inatoa mgao kwa wasio na ajira? 3bn ni kw ajili ya uwekezaji kwenye vyanzo vya ajira hasa vijijini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom