Hii ni taarifa rasmi yaJF?JF hawalipi mkuu
hizo mada za kukera ni zipi?
Yote yashasemwa humu wanarudia tusijasema natafuta jambo jipya
chuya na mawe yamezidi mpunga
Naandaa mada ya kuandika, nikizurura mtaani na kupata uzoefu nitaandika mada yangu.Pale kwenye story of change watu wanaandika kwa kweli