Hivi jamani huu utumbo wa WIZARA YA AFYA hadi lini?

Young Kibaka

JF-Expert Member
Oct 6, 2012
319
46
Jamani mie kwa upande wangu naonekana tapeli halafu mwongo kisa hii wizara. Matokeo ya watu hawatoi, wanasema yapo kwenye website, ukiangalia web, hakuna kitu kama hicho. Wanataka tuandamane?
 
Kweli kabsa,wanavyofanyia raia co fair. Hiyo web wanosema matokeo yapo ni ipi!? Watuambie.

JAMANI JAMANI NILIKUWA NAIOMBA WATENDE HAKI KWA WENYE VGEZO. NO CORRUPTION!
 
Back
Top Bottom