Hivi jamaa alipotelea wapi?

Mbabani

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
2,505
Reaction score
7,171
Kuna miezi fulani alitokea jamaa Tiktok kwa jina la HABIL and KABIL, aliteka masikio ya wananchi wengi kwa stori zake za kuhusu maandamano, lakini ghafla bin vuu jamaa hasikiki tena.

Ilikuaje ama ilikua project ya watu wazito? The same kwa CAPTAIN TESHA alisema tu nitarudi ila hadi leo holaa
 
Hii nchi kuna michezo sana
 
Hii nchi utapeli ni mwingi sana, ilitokea tena CCM wakawa wanashangilia MBOWE ashinde uchaguzi CHADEMA.

Tanzania hatuna viongozi wa upinzani wa kweli wanaozidi 10
 
Habili ulikuwa mchongo ule. Yule mtu wa kupandikiza tu, alikuwa anatumia setting maalum kubadili sauti. Kuparalaiz serikali 😆
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…