niliona clip ya habari ya upasuaji wa moyo. footage iliyoonyeshwa haiogofi km inavyovumishwa! Km footage hiyo isingetumika rahisi kwa wazushi kuamini kuwa opereshen za moyo, kubadilidha valve zinaweza kufanywa na hospitali ya Muhimbili, kwani kizazi cha sasa cha wazushi, ni cha kulalamika kwa kila kitu, wapenda vitu vya mkato-mkato bila ya kutoa jasho, na kimejawa na kasumba ya utegemezi hasa kutoka nje... hakijiamini kama kinaweza kufanya makubwa kwa kutumia bongo zao.