SONGOKA
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 1,836
- 1,845
katika taarifa ya habari bila hata kutoa tahadhari kua picha zitazo onekana ni za kutisha na si nzuri kwa watoto under 18,
wamerusha taarifa ya operation ya moyo muhimbili ikimuonyesha mgonjwa akiwa amepasuliwa wazi wazi na kabla sijamaliza kushangaa, wanaonyesha taarifa ya ajali majerui wakiwa wameumia vibaya,akiwemo mama aliyekatika mdomo kabisa...
taarifa kama hizi zinahitaji tahadhari kabla...acheni ukanjanja..Joyce Mhavile upo.