Hivi itakuwaje Kama JamiiForums tukiamua kuikuza ikawa mtandao mkubwa kuliko FB na Instagram?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,579
44,821
Nina wazo ndugu zangu mnaonaje tukihamasisha mtandao wa JamiiForums uwe mkubwa kuliko hii ya kimataifa hapa nchini maana naonaga sana watu Wengi wanatumia Facebook na Instagram wengi sana nashangaa hawaijui kabisa JamiiForums kama sisi magreat thinker tunavyoendelea hapa jamvini ningependeza Kwanza kampeni maalumu kuhakikisha viongozi wote wanajiunga kwa verified ID kabisa ili tuweze kuwapiga maswali lakini ndo sasa inatakiwa kudharauliana kuishe humu ndani maana naona jukwaa la siasa Kuna watu Wana akili Sana lakini tatizo ushabiki unawamaliza akili.

JF ya Sasa ilipaswa iwe ndo chimbo la vichwa katika sekta mbalimbali maana humu wote mliopo ndani no wajanja nawakubali Sana mpaka mmefikia hatua ya kuwa na historia katika forum sio kitu kidogo.

Kuna wataalamu wengi sana Wana madini humu ndani ili sasa mawazo yatumike tujenge taifa moja ikiwezekana hata sisi tunapaswa kusaidia baadhi ya Mambo ya kisheria kwa kushauri na hata kusaidia watu ilimradi tu tuache alama kubwa mnaonaje wazo langu wakuu napenda liboreshwe au likosolewe au likubaliwe?
 
Uo ukubwa unaousemea ni dunia nzima au TZ tu maana kuna Forum kama Quora kuna wasomi tena ni Forum kubwa aswaa ila haijaipita IG na FB ije kuwa JF ambapo nyuzi za kingereza ni 0.9% na wachangiaji 0.3% kwanza App ya JF bado inabug kama zote mkuu wwe kama ni mgeni umu achana na mawazo ayo ni ndoto za asubuh kweupeee
 
Back
Top Bottom