Hivi Itakuwaje CHADEMA ikichukua Nchi?

Hivi Itakuwaje CHADEMA ikichukua Nchi?

Uzuri wa CCM utakuja kuonekana pale tu CDM itakapochukua madaraka!trust me u politically blind tanzanians!
 
umeona eheeh?
Ptuuh! Mungu apishe mbali. Na hizo ndoto zao kamwe hatitakaa zitimie.
Ukisoma hoja zao zimetawaliwa na jazba, matusi, dharau na ukristo mtupu. Hata hao viongozi wao waandamizi huoni wakikemea. Bado sana hawa jamaa.

CCM IMEPANDA UDINI UKAISAIDIA KUIMALIZA cuf SASA HUO UDINI UNAIMALIZA CCM, Mfano mzuri ni kuchomwa kwa ofisi za ccm Zanzibar ni ishara tosha kuwa uislam unaoushadadia ndo huo unaiangamiza ccm. We endelea na Udini na cuf sasa wanampango wa kuvunja ndoa ndo maana wanajipanga kutumia uamsho kuwamaliza huko Zenj. huku bara kazi yenu imekwisha nimemsikia Kikwete akilalamika rushwa kwenye chaguzi wakati aliagiza TAKUKURU ikamate wala rushwa ila cha kushangaza SUMAYE ANALALAMIKA na hawajafanya chochote
 
Kweli wewe baiskeli bora hata ungekuwa tractor tunge kutumia kulima! Ukiona mtu ana penda kujificha kwenye miamvuli ya dini ni dhaifu sana!

Kwako wewe naomba nisikuulize umri! Nyie ndio mnaleta migogoro nchini.

wallahi nchi hii itakuwa roman, wasiokuwa wakiristo watakoma, bora tu tubaki na ccm.
 
Ndio hayo matatizo ya kuandika kabla ya kufikiri ilimladi ataje chadema.
Mkuu, Hicho ndiyo ninachoshindwa kuelewa...yaani yeyote anayechangia akiikosoa(kuisahihisha Serikali) eti ni CHADEMA? Afterall kuna ubaya wakiwa CHADEMA??
Hawa wapuuzi wawe wanafikirisha na akili zao.
 
umeona eheeh?
Ptuuh! Mungu apishe mbali. Na hizo ndoto zao kamwe hatitakaa zitimie.
Ukisoma hoja zao zimetawaliwa na jazba, matusi, dharau na ukristo mtupu. Hata hao viongozi wao waandamizi huoni wakikemea. Bado sana hawa jamaa.
Huna lolote we mchoma makanisa. Ibilisi mkubwa we.
 
Itakuwa Nchi ya wacheza Dansi na Wapora Mabibi za watu!!!
 
POST KAMA HIZI ZINATIA MATUMAINI SANA KWA WANAMABADILIKO KUWA CCM SASA WANAANZA KUJITETEA NA KUTAFUTA HURUMA MBELE YA WATU HAPA JF ILA STYLE WANAYOTUMIA HAIWEZI KUSAIDIA CHOCHOTE MTU AKIZEEKA NA MUDA WAKE UKIISHA HAPA DUNIANI HATA ASEME YEYE NI KIJANA BADO TU MAUTI ITAMZOA TU MUDA C MREFU, Hongera sana mleta mada kwa kuonyesha kuweweseka kwa ccm hapa
 
Wapendwa,
Nimekuwa nikifuatilia sana mwenendo na hali ya nchi inavyoendelea!
Inavyoonekana by chance or design, mawazo yanayoletwa humu JF yana-impact decision making kwenye system.

Juzi , Nchimbi alisema ' hata watu katika mitandao wanataka...' hapa nikahisi inawezekana kufikia maamuzi yake alipata inputs kutoka kwenye mitandao, JF ikiwa mojawapo.

Ni rahisi kugundua msimamo rasmi wa CHADEMA ukifuatilia comments za watu humu JF ( ambao wengi wao ni Pro-CDM).
Sasa chukulia CDM imeshinda uchaguzi (God Forbid!):
  1. Hizi dharau na kejeli za kidini na kikanda ndizo zitakuwa order of the day serikalini?
  2. Wale unprivilleged ambao hata sasa wanachekwa humu JF watasalimika kwenye utawala wa CHADEMA?
  3. Sioni dalilli wala juhudi yeyote ya viongozi wakuu watarajiwa wa CHADEMA wakijitenga na kejeli hizi, je tutegemee kutoka kwenye utawala huo?

Kwanza CHADEMA Haiwezi kuchukuwa nchi ndani ya miaka ishirini ijayo.....
Iwapo watachukua baada ya hiyo miaka ishirini....Hao unprivilleged (Umemaanisha Waislamu) ..Hawana hofu yoyote..
wewe unajua jinsi gani wanavyojua Kujilinda...kwa hiyo usitie shaka...
swali la kujiuliza ni je CHADEMA kweli wataweza kuongoza nchi kutokana na shughuli za hawa unprivilleged ?
 
Na wenyewe wataota magamba na baada ya muda mfupi tu watatangaza kuvuana magamba.
 
Mi nafikiri, huu si muda wa kuuliza eti cdm wakichukua nchi itakuwaje,bali ni muda wa kujiuliza tufanye nn ili tuweke chama makini madarkani. CCM si chama kibaya ila wamepoteza mwelekeo due to tamaa.Tunachotakiwa kufanya ni kuwaondoa madarakani ili wakajipange upya,na tuweke chama kingine ambacho kitakuwa makini kiwaoneshe mfano.
 
umeona
eheeh?
Ptuuh! Mungu apishe mbali. Na hizo ndoto zao kamwe hatitakaa zitimie.
Ukisoma hoja zao zimetawaliwa na jazba, matusi, dharau na ukristo mtupu.
Hata hao viongozi wao waandamizi huoni wakikemea. Bado sana hawa
jamaa.

short sighted. Tofautisha jukwaa huru (Jf) na Chama cha siasa (CDM).
 
Kweli wewe baiskeli
bora hata ungekuwa tractor tunge kutumia kulima! Ukiona mtu ana penda
kujificha kwenye miamvuli ya dini ni dhaifu sana!

Kwako wewe naomba nisikuulize umri! Nyie ndio mnaleta migogoro
nchini.

Well said.
 
Tulia Chadema ishike nchi hakuta kuwa na udini hasa Dr. Slaa akikamata madaraka,mwendo kazi hakuna ujinga ujinga.
 
hatuendelei kwa sababu ya wajinga katika nchi... na mtu yeyote ambae hayupo kwa ajiri ya mabadiliko ni mjinga kwa taafsiri rahisi...nadhani tz kuendeleea bado sana...na ujinga wa watu hata waliomo jf daaaa ni miaka mingi....
CHUKUA CHAKO MAPEMA(ccm).
 
hatuendelei kwa sababu ya wajinga katika nchi... na mtu yeyote ambae hayupo kwa ajiri ya mabadiliko ni mjinga kwa taafsiri rahisi...nadhani tz kuendeleea bado sana...na ujinga wa watu hata waliomo jf daaaa ni miaka mingi....
CHUKUA CHAKO MAPEMA(ccm).
Mkuu hatuhitaji change tuu, we need POSITIVE change! CHADEMA ni ethnic na divisive party. Hakuna lolote kwenye chadema linaloashiria NEEMA, zaidi ya makabila fulani au group fulani kupata upper hand!
 
Huwezi kumsaidia jiran wakat kwako hata pesa ya dagaa huna.Maaana yangu ni kwamba cdm ikchukua lazma ihakkshe nymban wanakula kuku ndo amkumbuke jran so aweza kujsaha miaka mitano ikapta 4 nthn
 
CDM ikitawala naomba Wazanzibari tuwe tumeshajitenga na Watanganyika na tumeshaungana wa Mombasa! Najua kipindi hicho nchi itakua inatawaliwa na kauli mbiu ya "KWA JINA LA BABA LA MWANA NA LA ROHO MTAKATIFU"! Wazanzibari wapi na wapi na KUFRU hizo!
 
Back
Top Bottom