Hivi Itakuwaje CHADEMA ikichukua Nchi?

Mh. hakuna mtu anayeweza kushindana na upepo wa mabadiliko na hii haijalishi mabadiliko mazuri au mabaya. Mabadilko yalianza karne nyingi zilizopita na sasa tanzania ni mabadiliko ya kidemokrasia kwanza na maendeleo yatafuata. usidanganywe na watu walio na uwezo mdogo wa kuchambua watanzainia ndio majaji tunaoona ukweli halisi. NAOMBA WATANZANIA TUTENDE HAKI 2015, USHAHIDI WOTE UNAONYESHA WAZI KUWA TUNAHITAJI MABADILIKO YA HARAKA
 
Wapendwa,
Nimekuwa nikifuatilia sana mwenendo na hali ya nchi inavyoendelea!
Inavyoonekana by chance or design, mawazo yanayoletwa humu JF yana-impact decision making kwenye system.

Juzi , Nchimbi alisema ' hata watu katika mitandao wanataka...' hapa nikahisi inawezekana kufikia maamuzi yake alipata inputs kutoka kwenye mitandao, JF ikiwa mojawapo.

Ni rahisi kugundua msimamo rasmi wa CHADEMA ukifuatilia comments za watu humu JF ( ambao wengi wao ni Pro-CDM).
Sasa chukulia CDM imeshinda uchaguzi (God Forbid!):
  1. Hizi dharau na kejeli za kidini na kikanda ndizo zitakuwa order of the day serikalini?
  2. Wale unprivilleged ambao hata sasa wanachekwa humu JF watasalimika kwenye utawala wa CHADEMA?
  3. Sioni dalilli wala juhudi yeyote ya viongozi wakuu watarajiwa wa CHADEMA wakijitenga na kejeli hizi, je tutegemee kutoka kwenye utawala huo?

Tuliowapa mamlaka watuongoze wameshindwa, unahitaji mabadiriko ni watz kama wewe unaepiga debe hapa kwa sh elfu moja. Mliiba kura ila 2015 hamtaiba mmalize. Mimi huwa najiuliza kitu kimoja" hivi mnaosema chadema haiwezi kutawala, ccm imeweza wapi"? Pigeni debe tu siku moja litapasuka.
 
Unapoona mtu analeta maada ya udini ujue ubongo wake haufanyi kazi vizuri, kwani dini ni nini si imani ya kuamini kuwa mungu yupo wakati hutegemgei utamkuta au usimkute kabisa. Huu ni upuuzi hali ya juu hiyo ni imani ya kawaida inayopaswa kuheshimiwa tu! WATU WENGINE KWELI NI DEAD MIND DINI ZENYEWE ZILITOKEA AFRIKA KWAMBA TUNAWAENZI MABABU ZETU AU NDIO UZUNGUNI NA UARABUNI. STATEMENT MAKER IS SO HOPELESS.
 
Wapendwa,
Nimekuwa nikifuatilia sana mwenendo na hali ya nchi inavyoendelea!
Inavyoonekana by chance or design, mawazo yanayoletwa humu JF yana-impact decision making kwenye system.

Juzi , Nchimbi alisema ' hata watu katika mitandao wanataka...' hapa nikahisi inawezekana kufikia maamuzi yake alipata inputs kutoka kwenye mitandao, JF ikiwa mojawapo.

Ni rahisi kugundua msimamo rasmi wa CHADEMA ukifuatilia comments za watu humu JF ( ambao wengi wao ni Pro-CDM).
Sasa chukulia CDM imeshinda uchaguzi (God Forbid!):
  1. Hizi dharau na kejeli za kidini na kikanda ndizo zitakuwa order of the day serikalini?
  2. Wale unprivilleged ambao hata sasa wanachekwa humu JF watasalimika kwenye utawala wa CHADEMA?
  3. Sioni dalilli wala juhudi yeyote ya viongozi wakuu watarajiwa wa CHADEMA wakijitenga na kejeli hizi, je tutegemee kutoka kwenye utawala huo?

Wale magamba waliokutuma upost huo upuuzi wenu kawaambie kuwa sisi khatukopeshi tunakuanika na kukusurubisha live kwamba wajinga wajinga vilaza kama wewe unayejiita Free World hamna lolote hamna jipya na Sisiemu yenu,kilichobaki ni nyinyi kujiaandaa kuwa chama cha Upinzani SISIEMU na Mpenzi wake KAFUU ndoa yenu itadumu milele kama wote mkiwa vyama vya upinzani. Kawaambie akina Nepi na vilanza wenzio kuwa tuko macho na makini tofauti na mnavyotudhania, hapa ni Titi fo Tat, Nyambafu mmezoea kuiba kura na kuwadanganya maskini wa Tanzania, mkwaka 2015 itakuwa ndo mwisho wenu, washeku nyie mmezoea vya kunyongea gizani,2015 tutawachinjia baharini hakyamungu tunaapa na lazima 2015 Raisi wa nchi awe mkristo mkatholiki.
 
Wapendwa,
Nimekuwa nikifuatilia sana mwenendo na hali ya nchi inavyoendelea!
Inavyoonekana by chance or design, mawazo yanayoletwa humu JF yana-impact decision making kwenye system.

Juzi , Nchimbi alisema ' hata watu katika mitandao wanataka...' hapa nikahisi inawezekana kufikia maamuzi yake alipata inputs kutoka kwenye mitandao, JF ikiwa mojawapo.

Ni rahisi kugundua msimamo rasmi wa CHADEMA ukifuatilia comments za watu humu JF ( ambao wengi wao ni Pro-CDM).
Sasa chukulia CDM imeshinda uchaguzi (God Forbid!):
  1. Hizi dharau na kejeli za kidini na kikanda ndizo zitakuwa order of the day serikalini?
  2. Wale unprivilleged ambao hata sasa wanachekwa humu JF watasalimika kwenye utawala wa CHADEMA?
  3. Sioni dalilli wala juhudi yeyote ya viongozi wakuu watarajiwa wa CHADEMA wakijitenga na kejeli hizi, je tutegemee kutoka kwenye utawala huo?

Point namba tatu ingekuwa "valid" kama viongozi wa CDM wangechangia kuunga mkono huo mtazamo unaokukera. Otherwise, hizo ni hisia zako tu. Cha kushangaza msimamo rasmi wa CDM umeshatolewa, lakini unang'ang'ania msimamo wa watu binafsi huku ukizungumzia chama!!!!!Nadhani tuhitimishe kwamba wewe una lako jambo.
 
Wale magamba waliokutuma upost huo upuuzi wenu kawaambie kuwa sisi khatukopeshi tunakuanika na kukusurubish2015 tutawachinjia baharini hakyamungu tunaapa na lazima 2015 Raisi wa nchi awe mkristo mkatholiki.

Endelea kufunguka mkuu!
 
CHADEMA haikimbilii kutoa matamko kila kitu kinajadiliwa kwa kina kwanza,,,,,,wakichukua nchi 2015 mambo yatabadilika maana sera zao ni tofauti kabisa na CCM,,,EXPECT THE BEST
 
wapendwa,
nimekuwa nikifuatilia sana mwenendo na hali ya nchi inavyoendelea!
Inavyoonekana by chance or design, mawazo yanayoletwa humu jf yana-impact decision making kwenye system.

Juzi , nchimbi alisema ' hata watu katika mitandao wanataka...' hapa nikahisi inawezekana kufikia maamuzi yake alipata inputs kutoka kwenye mitandao, jf ikiwa mojawapo.

Ni rahisi kugundua msimamo rasmi wa chadema ukifuatilia comments za watu humu jf ( ambao wengi wao ni pro-cdm).
Sasa chukulia cdm imeshinda uchaguzi (god forbid!):
  1. hizi dharau na kejeli za kidini na kikanda ndizo zitakuwa order of the day serikalini?
  2. wale unprivilleged ambao hata sasa wanachekwa humu jf watasalimika kwenye utawala wa chadema?
  3. sioni dalilli wala juhudi yeyote ya viongozi wakuu watarajiwa wa chadema wakijitenga na kejeli hizi, je tutegemee kutoka kwenye utawala huo?

binafsi sion tofauti kati ya wafuasi wa chadema na wafuasi wa uamsho
wako tayari kufanya lolote kwa masilahi ya chama na sio nchi
too bad that we are not going to give this coutry to these demonstrators..
 
Nachelea kujibu maana nimeona maswali yako yana ujinga na uzushi mwingi tu, sasa ingawa busara inanipa uhuru kukujibu kijinga, nimechagua kutofanya hivyo.

Ila niseme tu, wewe subiri tufike mtoni ndipo utaona tutakavyovuka daraja.
 
kila aliyejaliwa kuona anaona kuwa chadema itachukua nchi mwaka 2015,chamsingi ni wanachadema na wanaccm waanze kujiandaa kisaikolojia tu,chadema inakwenda kutenda haki kwa kila mmoja,chadema haitompendelea yeyote wala kumuonea yeyote,chadema haitambagua yeyote na ukweli ni kwamba chadema inakwenda kujenga nchi ya mfano ktk demokrasia,maendeleo,diplomasia na kurejesha tunu na hadhi ya tanzania ktk afrika na duniani,chadema itahakikisha inafanya maamuzi sahihi na wakati sahihi,chadema itajenga uwazi,uwajibikaji na weledi katika kazi,chadema itajenga amani,upendo na mshikamano kwa taifa.lakini itawashughulikia wenyd kufilisi taifa bila haya.
 
Wapendwa,
Nimekuwa nikifuatilia sana mwenendo na hali ya nchi inavyoendelea!
Inavyoonekana by chance or design, mawazo yanayoletwa humu JF
yana-impact decision making kwenye system.

Juzi , Nchimbi alisema ' hata watu katika mitandao wanataka...' hapa
nikahisi inawezekana kufikia maamuzi yake alipata inputs kutoka kwenye
mitandao, JF ikiwa mojawapo.

Ni rahisi kugundua msimamo rasmi wa CHADEMA ukifuatilia comments za watu
humu JF ( ambao wengi wao ni Pro-CDM).
Sasa chukulia CDM imeshinda uchaguzi (God Forbid!):
  1. Hizi dharau na kejeli za kidini na kikanda ndizo zitakuwa order of
    the day serikalini?
  2. Wale unprivilleged ambao hata sasa wanachekwa humu JF watasalimika
    kwenye utawala wa CHADEMA?
  3. Sioni dalilli wala juhudi yeyote ya viongozi wakuu watarajiwa wa
    CHADEMA wakijitenga na kejeli hizi, je tutegemee kutoka kwenye utawala
    huo?

Nchi gani? labda ya Uchira au Rombo!
 
EEH MKUU UMENIFUATA HADI HUKU?/
KWA KWELI UNAKIPENDA CHAMA SANA
PIIIPOOOZZ....!!!
:peace::peace::peace:

Nikufuate wewe ni nani?..Do you even think you have something that can be followed/taken from you?
Mtu mmoja hawezi kuchangia thread mbalimbali?..au na ugeni wako hapa JF ndiyo kuleta vioja vyako!

If you dont a thibg to say, just watch and learn..Period!
 
EEH JAMANI HALI HII HATUONANI,JE TUNGEONANA??
HALI HII HAMJACHUKUA NCHI JEE MKICHUKUA??
HALI HII NI SIASA JE NINGEKUCHUKULIA UBAVU WAKO WA MAISHA??
POLE POLE,KIDOGO KIDOGO NDUGU
JAZBA NA KIBURI SIO UUNGWANA,,
HATA MBOWE NA SLAA HAWAPO IVO
:bump2::bump2::puke::sorry:
 
Back
Top Bottom