Hata kama sifahamu idadi, but for Isingo am certain hata 10+ watakuwa wamefika! Don' forget, Isidingo imeanza during the analogy age where access to information was limited...Mbona wilisha kufa watatu ninao wajuwa mmoja alikufa kwa accident ya gari.
Hata mimi nilikuwa siielewi kama wengi wenu,kuna jamaa yangu ikifika muda wa kipindi cha Isidingo hata kama yuko safarini atatafuta sehemu yeney ITV ili asipitwe na kipindi,nilianza kumsindikiza na akawa ananisimulia mlolongo wa matukio ya tamthiliya hiyo,tangia kipindi hicho mimi ni mlevi wa Isidingo kumzidi hata yeye,hakuna Tamthlia yoyote katika media za Tanzania yenye akili kama Isidingo,pia angalia type ya watu wanaoifuatilia na kuielewa utagundua kitu,tofautisha na watu wanaopenda Bongo movies,cinema za rambo ,za kinajeria etc utapata jibu.Sijawahi kuielewa
Isidingo ni series nzuri sana, imetarget middle class kwa maana ya education na style ya maisha. Hivyo ni ngumu sana kwa mtu ambaye ana disadvantage ya elimu kuipenda Isidingo. Hivyo mtu asikimbilie kusema kitu flani hakifai bila kujutathamini mwenyewe.hakuna Tamthlia yoyote katika media za Tanzania yenye akili kama Isidingo,pia angalia type ya watu wanaoifuatilia na kuielewa utagundua kitu,tofautisha
Ya jumamosi usiku baada ya hawavumi lakini wamo huwa inanihusu sanaKama huangalii ISIDINGO basi unapitwa na mengi sana...
Jaribu kuifuatilia hata wiki moja kama utaiacha kuiangalia..
Nisipoiangalia siku za kawaida lazima nivizie marudio yake weekend..
Ni tafsiri ya mama halisi wa kiafrikaMimi huwa nampenda sana Agnes Matabane ni mama anayefaa kuigwa ktk kutatua matatizo ya familia yaani nafasi anayocheza huwa anaitendea haki.
...teh teh teh tehSijawahi ona tamthilia ndefu kama hii ya isindiko nakumbuka hii tamthilia nimeanza kuiona nikiwa mdogo alipo fariki hayati baba wa taifa mwaka 1999 mpka leo mwaka 20017
Tatizo mshazoea tamthilia zenu za kifilipino na Mexico ambazo mwisho wake unajulikana, unakutana na mapenzi ya mtoto wa tajiri na maskini...mapenzi yananoga.. badae yanaingiliwa na kutiwa misukosuko toka upande wa mtoto tajiri...mwisho wa picha hao wapenzi wataoana....Sijawahi kuielewa
Kama sijakosea hiyo ilikuwa ni mwaka mmoja tokea Isidingo kuanza.Sijawahi ona tamthilia ndefu kama hii ya isindiko nakumbuka hii tamthilia nimeanza kuiona nikiwa mdogo alipo fariki hayati baba wa taifa mwaka 1999 mpka leo mwaka 20017
o To my knowledge..isidingo imeanza 1997 kuonyeshwa hapa nchiniKama sijakosea hiyo ilikuwa ni mwaka mmoja tokea Isidingo kuanza.