Hivi ISIDINGO ina mahusiano gani na ITV?

huna uhakika na unachoongea
Nataka kujua hii tamthilia ni kwa nini haishagi!!!!
Isidingo ni tamthilia ya nchini Afrika ya kusini na inastori ya kuzungumzia maisha ya wanadamu ya kila siku ktk nyanja zote za maisha,ajira,mahusiani ndoa,ujambazi?utapeli,uchaMungu nk yaani kila situesheni ya maisha ya binadamu yachezwa humo... vita na visasi vya matajiri ktk kutambiana utajiri utaupata humo,faida na hasara za mchepuko utaupata humo,kujiamini&kujitambua angalia isidingo utajielewa wewe n nani na watakiwaje na ufanyaje, mimi nimeanza kuiwatch kama sio 99 bax 2000 na kuna mtu kauliza mbona watu hawafi? kama mfatliaji na wale wanacheza maisha ya binadamu ya kila siku anakufa watu kwa mf aliyeigzaga kama Lee Barker Heins na kaka yake Dancan wamefariki na alitangulia Dancan na aliuwawaga na Sherel Devilins akamtupaga mgodini na hakutambulika na mr Hains ndio akatoa hilo jina liwe jina la hoteli yake kumuenzi mwanae. Kuna aliyekuwa anaitwa Letti Matabane naye alifariki,kuna Jaffeson Sebeko kafa na wa mwisho kufa ni kjana 1 wa mgodini akiwa anafanya na mume wa Zukisa. Inshort kama unapenda tamthlia yenye maelezo na maisha ya sisi waafrica just watch isidngo... niikiikosa nahisi maisha yngu yanapungua. Anza leo uone vita kali zidi ya Barker Hains Vs Linco Sebeko/Katlego Sebeco~Nikiwe Sebeco. Maisha ya loveboy Skhumbuzo kastak kutaka kuanzisha penzi na ex gfnd wa Sechaba(lerato) wkt Sechaba anafanya jithada za kutaka kumrudia Lerato. Luteni wa polis Priya akikimbia mji kwa kutopenda kuona akizungumziwa mambo yake baada ya kufanyana na Brandy Hans, Mume wa Priya akiugua kwani anampenda mkewe priya na Hiranya mwanae wa kufkia akiwa ni mtoto wa Frank Xaivier ambaye alimpa priya mimba na akumuoa kwa ajili prya ni muhndi na jamii yao haitak mtu tofaut na asili yao hivyo akaolewaga na Rajesh akiwa mjamzito na Rajesh analea huyo mtoto kwa mapenz makubwa japo Priya kakata kumzalia akisema mimba haishk wakaenda hosp kuchunguzwwa shida hakuna wakaambiwa wakazane siku 1 Rajesh akafuma dawa za kuzuia mimba kumbe mke alikuwa akimeza sasa ile hasira Rajesh akajikuta akianzisha mahusiano mapya ya kimapenzi na seckretary wake aliyekuwa anaitwa Zakitombi Nkhumalo au Zak na akakolea kwa Zak ikiwa Zak ndio alionyesha kwanza kumpenda Rajesh ikapelekea Rajesh kukolea na mke alivyogundua kuwa mume anatoka nje akadai talaka ila sasa wanaelewana japo ni wameshatalikiana sio kama sisi mtu mkitalikiana hata salam hakuna. Ni story Ndefu. Leo ni Sechaba anasherekea kupewa tena mkataba ktk kampuni ya uchimbaji madini ya Sebeko gold ila anadai 1 ya mashrt hatakiw kufanya kazi Shebin kwa taitaaas George Zamdela rfk mkubwa wa Zeb Matabane baba yake Sechaba. Skhumbuzo anamwambia Lerato anataka waprtend ni wapenz coz hapo kati lerato alionyesha kumfill shkumbuzo na shkumbuzo pia wakawa wamebusiana siku 1 sasa busu lawapeleka putaa wanatamani marudiano&mechi kbsa. Frank Xaiver anaendelea na kipnd chake cha hard news baada ya kunusurika na asid aliyotumiwa na mr Hains baada ya Hains kubamizwa kt debate ya majuzi. ni nzr anzaaa
 
Kama umeanza fuatilia isindigo zamani utagundua waigizaji wanabadilika ikitokea labda mtu hawezi kuigiza tena watamtaftia jinsi ya kumuondoa kwenye story kwa mfano eti ameenda abroad maana iko based na maisha ya mgodi wa horizon deep tu hawaigizi nje ya horizon deep ndiyo maana wakisema mtu kaenda germany hawakuonyeshi huko germany hutumuona mpaka eti akirudi horizon deep
 
Kwanini unatamani iishe? Huwezi uka-enjoy kwa kuiangalia tu mpaka ujue mwisho wake? Kama nchi, bado tuko nyuma sana katika sanaa za maonyesho. Tumeshazoea hadithi fupi za ITV enzi za kina Nyamayao ambapo mwanzoni huelewi kitu mpaka mwishoni ndo unaanza kujua kisa mkasa na stori inaisha. Urefu wa stori sio ishu, ishu ni kilichomo ndani ya stori. Ndo maana movie ya Kihindi 'Hatya' pamoja na kuwa ndefu sana (3hrs), kila hatua inavutia na kukufanya uwe emotional. Wanaoandaa soap opera kama Isidingo, Days of Our Lives, The Lestless, nk wanajitahidi kuifanya stori yao iwe interesting kila wakati na sio mwishoni tu kama tulivyozoea hadithi zetu za kibongo. Kuuliza kwanini Isidingo haiishi ni kutokuelewa malengo ya hadithi za namna ya Isidingo.

Kwa kifupi Isidingo in very loyal fan base. Binafsi naweza nisiiangalie hata mwaka, lakini lazima angalau nifuatilie scripts zake mtandaoni(tvsa.co.za), hivyo kila wakati nakuwa tayari kuendelea na stori. Pia kama wewe huipendi, pendekeza unayoona wewe inafaa badala ya kutaka Isidingo iondolewe. Binafsi naona tamthilia za South America na Asia (hasa Phillipines) ni kwa ajili ya vijana (house gals, boys and the like)-too much naivety na 'true love'. Very far from reality. But siwez kuomba zifutwe coz najua zina target audience.

Mwisho, stori ndefu au document ndefu sio kwa ajili ya watu weusi. Mtu mweusi anataka kusoma text message ya simu, sio aya ya habari wala kurasa 2 za gazeti. Mtu mweusi anapenda vitu vyepesi kuonekana na kueleweka, hataki kusumbua bongo yake. Hapa ndipo wazungu wanapopita na mikataba yao kama ile waliyosaini kina Mangungo wa Msovero-Hiding trick clauses behind a forest of words. Viongozi wetu weusi hawajisumbui kusoma na kuelewa kila kitu, wanasoma sehemu ya kuweka sahihi tu. It feels good to be black, and in the dark.
 
Ni tamthilia nzuri, ukifuatilia kwa ukaribu utaburudika na kujifunza mengi
 
Isidingo ni tamthilia ya nchini Afrika ya kusini na inastori ya kuzungumzia maisha ya wanadamu ya kila siku ktk nyanja zote za maisha,ajira,mahusiani ndoa,ujambazi?utapeli,uchaMungu nk yaani kila situesheni ya maisha ya binadamu yachezwa humo... vita na visasi vya matajiri ktk kutambiana utajiri utaupata humo,faida na hasara za mchepuko utaupata humo,kujiamini&kujitambua angalia isidingo utajielewa wewe n nani na watakiwaje na ufanyaje, mimi nimeanza kuiwatch kama sio 99 bax 2000 na kuna mtu kauliza mbona watu hawafi? kama mfatliaji na wale wanacheza maisha ya binadamu ya kila siku anakufa watu kwa mf aliyeigzaga kama Lee Barker Heins na kaka yake Dancan wamefariki na alitangulia Dancan na aliuwawaga na Sherel Devilins akamtupaga mgodini na hakutambulika na mr Hains ndio akatoa hilo jina liwe jina la hoteli yake kumuenzi mwanae. Kuna aliyekuwa anaitwa Letti Matabane naye alifariki,kuna Jaffeson Sebeko kafa na wa mwisho kufa ni kjana 1 wa mgodini akiwa anafanya na mume wa Zukisa. Inshort kama unapenda tamthlia yenye maelezo na maisha ya sisi waafrica just watch isidngo... niikiikosa nahisi maisha yngu yanapungua. Anza leo uone vita kali zidi ya Barker Hains Vs Linco Sebeko/Katlego Sebeco~Nikiwe Sebeco. Maisha ya loveboy Skhumbuzo kastak kutaka kuanzisha penzi na ex gfnd wa Sechaba(lerato) wkt Sechaba anafanya jithada za kutaka kumrudia Lerato. Luteni wa polis Priya akikimbia mji kwa kutopenda kuona akizungumziwa mambo yake baada ya kufanyana na Brandy Hans, Mume wa Priya akiugua kwani anampenda mkewe priya na Hiranya mwanae wa kufkia akiwa ni mtoto wa Frank Xaivier ambaye alimpa priya mimba na akumuoa kwa ajili prya ni muhndi na jamii yao haitak mtu tofaut na asili yao hivyo akaolewaga na Rajesh akiwa mjamzito na Rajesh analea huyo mtoto kwa mapenz makubwa japo Priya kakata kumzalia akisema mimba haishk wakaenda hosp kuchunguzwwa shida hakuna wakaambiwa wakazane siku 1 Rajesh akafuma dawa za kuzuia mimba kumbe mke alikuwa akimeza sasa ile hasira Rajesh akajikuta akianzisha mahusiano mapya ya kimapenzi na seckretary wake aliyekuwa anaitwa Zakitombi Nkhumalo au Zak na akakolea kwa Zak ikiwa Zak ndio alionyesha kwanza kumpenda Rajesh ikapelekea Rajesh kukolea na mke alivyogundua kuwa mume anatoka nje akadai talaka ila sasa wanaelewana japo ni wameshatalikiana sio kama sisi mtu mkitalikiana hata salam hakuna. Ni story Ndefu. Leo ni Sechaba anasherekea kupewa tena mkataba ktk kampuni ya uchimbaji madini ya Sebeko gold ila anadai 1 ya mashrt hatakiw kufanya kazi Shebin kwa taitaaas George Zamdela rfk mkubwa wa Zeb Matabane baba yake Sechaba. Skhumbuzo anamwambia Lerato anataka waprtend ni wapenz coz hapo kati lerato alionyesha kumfill shkumbuzo na shkumbuzo pia wakawa wamebusiana siku 1 sasa busu lawapeleka putaa wanatamani marudiano&mechi kbsa. Frank Xaiver anaendelea na kipnd chake cha hard news baada ya kunusurika na asid aliyotumiwa na mr Hains baada ya Hains kubamizwa kt debate ya majuzi. ni nzr anzaaa
Duu we mkali
 
Mimi huwa nampenda sana Agnes Matabane ni mama anayefaa kuigwa ktk kutatua matatizo ya familia yaani nafasi anayocheza huwa anaitendea haki.
 
Like Zukisa. ila sasa nimewamisi Zeb Matabane na mkewe na cjui watarudi lini maana mpk nyumba baba kamuuzia mwanae Sechaba. Kuna yule Vusi?Semi Shirenza?Sherel?Vannesa?Pasons matabane?Neon mtoto wa Letti?benjamin loruu na familia yao nzima? nk hambao hawajaonekanaga... embu nawe wataje.

Ningeomba ITV wafanye kuwa 1hr na si 30mnts kama ilivyo sasa na iendelee kuonyeshwa kuutwa kama ilivyo hivi
 
Back
Top Bottom