Yani tangu nazaliwa nimeikutaNataka kujua hii tamthilia ni kwa nini haishagi!!!!
Wana mkataba na wanalipa kurusha matangazo yao na ni pesa ndefu kwakuwa ni prime timeNataka kujua hii tamthilia ni kwa nini haishagi!!!!
umeikuta wapi? itv au kwingine?Yani tangu nazaliwa nimeikuta
Isidingo ndo wanawalipa itv au?Wana mkataba na wanalipa kurusha matangazo yao na ni pesa ndefu kwakuwa ni prime time
ITV ndo wanawalipa Isidingo mkuu...Isidingo ndo wanawalipa itv au?
Hapana. ITV ndio wanaowalipa ISIDINGO. ITV wanauziwa vipindiIsidingo ndo wanawalipa itv au?
Haina mwisho? Wahusika hawazeeki? Hawafi?Isindigo ni aina ya michezo ya kuigiza inayoitwa soap opera. Uwa hazina mwisho maana zinaongelea maisha ya watu ndiyo maana mtu anaanza igiza toka akiwa mdogo unamuona mpaka anakuwa mtu nzina.
Ni kati ya michezo ninayo ipenda siyo kama ole michezo ya kipuuzi ya kifilipino ya kitoto toto