Hivi intelejensia ya Tanzania imeshindwa kufahamu alipo Askofu Josephat Gwajima?

Mkono Mmoja

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2019
Posts
3,958
Reaction score
7,697
Kauli ya mkuu wa wilaya ya Ubungo, Mh.Albert Msando imetushtusha sana pale aliposema kuwa hafahamu alipotokomea Mbunge wa jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima.

ina maana vyombo vya ulinzi na usalama vimeshindwa kabisa kufahamu alipojificha kiongozi huyu?
 
Gwajima mwanga huwa anaruka na ungo usiku
Uliza ndugu zake wanamjua vizuri
Usiku ule atakuwa aliruka na ungo kutoka kanisani

Kuna kijana mmoja wa hapo kanisan kuna youtube kaelezea kilichotokea kabla Gwajima kuyeyuka ghafla wakiwa wpte lanisani mbele yao
 
Gwaji, ameanza kuishi maisha magumu sana, mali zote alizonazo they mean nothing
 
Gwajima mwanga huwa anaruka na ungo usiku
Uliza ndugu zake wanamjua vizuri
Usiku ule atakuwa aliruka na ungo kutoka kanisani

Kuna kijana mmoja wa hapo kanisan kuna youtube kaelezea kilichotokea kabla Gwajima kuyeyuka ghafla wakiwa wpte lanisani mbele yao
duuuuuuh au kuna njia za chini kwa chini pale kanisani kwake ubungo?
 
Kwani wanamtaka kwa ajili ya nini tena, nikajua issue ilikuwa kufunga Kanisa lake na wamefanya hivyo, kumbe baada ya hapo kuna mengine tena yanafuata
 
Kama serikali ina tatizo na Askofu Gwajima basi washughulike naye huko ila sisi tutaendelea na ibada jumapili kama kawaida.

Mkitaka mje na silaha na kutuua ila wala hatutaacha kukusanyika maana hilo ni agizo la biblia takatifu.

Askofu Gwajima sio mmiliki wa kiwanja au jengo na wala sio signatory wa akaunti yoyote ya kanisa.
 
Gwajima mwanga huwa anaruka na ungo usiku
Uliza ndugu zake wanamjua vizuri
Usiku ule atakuwa aliruka na ungo kutoka kanisani

Kuna kijana mmoja wa hapo kanisan kuna youtube kaelezea kilichotokea kabla Gwajima kuyeyuka ghafla wakiwa wpte lanisani mbele yao
Hadithi za General Mtimkavu hizo 😁
 
Kwani wanamtaka kwa ajili ya nini tena, nikajua issue ilikuwa kufunga Kanisa lake na wamefanya hivyo, kumbe baada ya hapo kuna mengine tena yanafuata
kwa mujibu wa Mkuu wa wilaya ya Ubungo, Wakili Albert Msando, Gwajima anatakiwa ajisalimishe ktk vyombo vya dola ili akathibitishe tuhuma zake alizozitoa dhini ya uongozi wa rais Samia.
 
Kama serikali ina tatizo na Askofu Gwajima basi washughulike naye huko ila sisi tutaendelea na ibada jumapili kama kawaida.

Mkitaka mje na silaha na kutuua ila wala hatutaacha kukusanyika maana hilo ni agizo la biblia takatifu.

Askofu Gwajima sio mmiliki wa kiwanja au jengo na wala sio signatory wa akaunti yoyote ya kanisa.
Yeye ndyo mmiliki na hajafata taratibu za usajili, malizieni hizo taratibu za msajili kwanza
 
Kauli ya mkuu wa wilaya ya Ubungo, Mh.Albert Msando imetushtusha sana pale aliposema kuwa hafahamu alipotokomea Mbunge wa jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima.

ina maana vyombo vya ulinzi na usalama vimeshindwa kabisa kufahamu alipojificha kiongozi huyu?
Ulitaka walete ripoti kwako?
 
Back
Top Bottom