Hivi inawezekana kuushinda uzinzi?

Hivi inawezekana kuushinda uzinzi?

Ukishindwa kabisa kujizuia ingia kwenye chama cha punyeto hiku hakina gharama so utafanya mambo yako tu
 
Dah bonge la ushauri mkuu, ngoja nipate na Mawazo ya wadau wengne halfu nichanganye nazangu nipate njia nzuri zaidi

Huu sio ushauri wa kuufuata ndugu!
Km kweli upo serious na kuacha uasherati,amua,then mwambie Yesu coz hiyo ni roho n u need derivarence..na usitegemee ht ukioa utaacha,coz kuna changamoto ktk ndoa...means utatoka nje ya ndoa!?
Ndo maana lzm uishinde hiyo hali kabla hujaoa!
 
Ndiyo mkuu!

Jibu ni moja tuu OA mke
Huyu ht akioa hawezi acha kuchepuka!.
Coz ht owenye ndoa kuna changamoto km ,ugonjwa,kusafiri nk,je ataweza kuvumlia?
Ndo maana anatakiwa kuishinda hiyo hali kabla ya ndoa
 
uoe tu...maana mawazo yatakuja tu as long as ni mwanaumena uko sawa....binadamu huwa na stress akikosa sexkwa muda ni natural biological yani ndio tumeumwa hivo...ndio maana kuna kuoa na kuolewa pia....mimi mwenyewe stress hapanliponkibahatisha game ntatulia ila bra niwe vizuri kiuchumi nioe ili niwe njia sahihi....thou natafta kugegeda nikae sawa kwakweli...semandio hivo sinaga michepuko nahuwa napotezea sana maana siomuhuni au mwaribifu mimi.....so oa pata demu maalum ambaye anahitaji sana kamakuoa bado sana....any man aliyefaniiwa kuna mwanamke ndio maana ya hiyoakiwa stressd anatulizwa
 
Katika kitu ambacho nimejaribu kupambana nacho nimeshindwa ni uzinzi, kutokana na mipango yangu ambayo nataka niitekeleze ndani ya miaka miwili inayokuja niliamua kujitenga na uzinifu na baada ya miaka hiyo miwili nitaoa na maisha yaendelee, ila sasa jinsi hisia za napenzi zinavyonisumbua.

Nimekuwa nashindwa kuikataa zinaa maana nikikaa wiki sijafanya mapenzi nakuwa naboreka sana hata ufanisi wangu wa kazi zangu unashuka na mawazo ya ngono yanatawala sana , ila nikitafuta mwanamke nikishalala naye akili inarudi kawaida naweza kufanya azi zangu vizuri pasipo shida yoyote na nakuwa mchangamfu sana, ila baada ya wiki au siku tatu hali ya kuboreka inarudi tena, sasa naanza kuona kama malengo yangu yanataka kushindikana kufikia kwa sababu ya kuendekeza zinaa kama mnavyojua gharama za kugegenda hapa mjini zilivyojuu Kwa watu wenye uchumi wa juu lazima uende sehemu ya gharama na bibiye lazima ale hela ya kutosha ili ukimwita kesho asijishauri sana awe na uhakika wa kupata chake na kusepa,

Je wenzangu mnafanyaje kukwepa zinaa kwa kipindi cha mpito mnachotaka kutimiza baadhi ya malengo yenu muhimu??
Je kuna njia za kukuondoa kwenye mawazo ya mapenzi ??
Nini kinaweza kunifanya nikachangamka pale ninapokosa kufanya mapenzi niepukane na boredom?

Nasema haya yote kwa sababu wanawake wote niliokuta nao hawaendani na malengo yangu, kwa hiyo nipo nao kwa sababu ya mapenzi sio wa mipango ndo maana uwa nawapa chao baada ya mechi wanaondoka.

Jumapili njema wadau.
Nakushauri uokoke kwani una pepo la uzinzi linakusumbua, mtegemee YESU KRISTO maishani mwako. Kumbuka maisha ya duniani ni mafupi na baada ya kifo in hukumu. Tubu Leo tengeneza maisha ya umilele ktk ulimwengu wa roho
 
Mkuu inawezekana kabisa ila lazima uamue wewe mwenyewe bila kushauriwa wala kushurutishwa na mtu...Nakumbuka nilikuwa na tabia hizo za tamaa tamaa sana ila siku moja nikaamua kuanzia leo sintotongoza mwanamke yeyote na wote niliyokuwa nao nawapiga chini...Ilikuwa ngumu mwanzo na nilipata majaribu mengi mno maana hadi uliemtongozaga huko nyuma akakukatalia ndiyo anakupigia simu za uchokozi mwenyewe, Na nilipata vitisho vingi kutoka kwa hao niliojaribu kuwaacha ila baada ya miezi 2 tamaa zile zilipungua sana japo na mahudhurio yangu gym niliongeza mno...Nilisimamia wazo moja..HATA NIKIPEWA NA WANAWAKE WOTE DUNIANI ISIPOKUWA WANAFAMILIA ZANGU TAMAA HAITAISHA BADO BAADA YA WIKI NITATAKA TENA...So wote waligeuka dada zangu na maisha ikaenda mpaka nilipokuja oa..
 
Hautaweza kuushinda uzinzi kwa Ujuaji, kwa Hekima, kwa nguvu zako au kwa ujanja wako.

Uzinzi utaushinda iwapo utapata UELEWA kwa kujumuika katika njia ya msalaba kupitia Yesu Kristo.

Kumbuka, Uelewa ni zawadi kutoka kwa Mungu.


Ni kweli kabisa kaka huwezi shindana na nguvu za ibilisi kwa uwezo wako binafc au nguvu zako
 
Back
Top Bottom