Hivi inawezekana kudownload android studio kwenye Pc ?

Hivi inawezekana kudownload android studio kwenye Pc ?

Gwangzu

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2017
Posts
2,457
Reaction score
3,819
Habari za muda huu Wakuu

Naomba kwa anaefahamu hili swala maana nimenunua laptop yangu nina kama mwezi mmoja umepita sasa nikawa nataka niidownload android studio kwenye pc yangu sasa nikashindwa jinsi ya kuidownload sasa sikujua hivi inawezekana kudownload android studio kwenye pc au mpaka utumie computer nisadieni wajuzi
 
pc ni computer mpakato!

inawezekana kudownload japo ukienda direct kwenye site yao itakusumbua
 
unataka android studio kama developer au kuna vitu ndani yake unavitaka?
 
unataka android studio kama developer au kuna vitu ndani yake unavitaka?
Kama Diveroper Kwani Android Studia Naweza Tumia Javascript Au Hata Html Na Css Ku Deverop Web App Au Android Studio Ni Java Tupu?
 
Kama Diveroper Kwani Android Studia Naweza Tumia Javascript Au Hata Html Na Css Ku Deverop Web App Au Android Studio Ni Java Tupu?
angalia hapa

Web-Based Content  |  Android Developers

pia siku hizi kuna progressive web apps ambayo unaconvert site ya kawaida kwenda homescreen ya simu ikiwa na notifications kabisa. hii ndio trend kwa sasa. angalia hapa.

Your First Progressive Web App  |  Web Fundamentals  |  Google Developers

uzuri wa progressive web (pwa) ni kwamba inakubali platform yoyote ile yenye browser inazokubali hizo app. mfano app moja uliodevelop itarud windows, android, ubuntu etc
 
Aseeeh mtoa mada naomba kukuuliza swali!

Kudeverop ndo nn?
 
Back
Top Bottom