Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,335
- 3,902
Bukta wanavaa wanaume wa kigumu, huwezi kwenda garage bila kuvaa buktaKwenye mihangaiko ya duniaa alafu nafanya kazi na wanaume ofisini mara kibao mashart yanachomoka unakuta mtu kavaa mpensi mara ya kijani,njano saa nyingine mpka la purple yaan nachukiaa balaaa