Hivi inakuwaje mwanaume unavaa bukta ya kuchezea mpira ndani ya suruali badala ya boxer?

Yaan ww unafanan na wachuga

Mie na boxa zangu du kumbe kaipenda si akaiba nimefika home tafuta tafut na wew siku anakuja kupiga pic ananiambia unaniona nilivopendeza maan nilichukua ukimbusho

Ila nyie wanawake mnazijua wenyewe tu akili zenu
 
Jamani katika kitu kinachoniuzi ni kumuona mwanaume kavaa li bukta la kuchezea mpira ndani ya suruali yaani nakereka kuliko maelezo embu fikiria unakutana na mkaka kavaa kapendeza yaani yuko smart kuliko maelezo alafu kavaa libukta la mpira hivi wenzangu mnajisikiaje?

Kwanini mtu usivae boxer yako nzuri ya cotton uvae ndo utoke zako?kuliko kuvaa hiyo mibukta inawafanya mtune utasema mmebeba mafurushi, hebu acheni hiyo tabiaaa bwana,huo ni uchafu ,usmart wa mwanaume upo kwenye boxer na sio kuvaa mabukta kama mnaenda mpirani.

Alafu hamna kitu kizuri na kinachopendeza kama kumkuta bwana ako kavaaa boxer yaani unakuwa hata comfortable kumvuaa nguo sasa ukikuta mtu kavaa mipensi stimu zote zinakata
Wengine tunaona kuvaa chupi tu bila bukta kama tako liko wazi
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒMkuu Mungu anakuona,nimecheka sana dah!
 
Yani ungejua kati ya vitu vidume tunafeli basi ni hayo mambo ya boxer, ndio maana madem wenye akili zao huwa wanapenda kuwapa zawadi za boxer wapenzi wao.
Ni wachache wanaokua na maboxer mengi mengi.
Boxer zako 3, bukta 1 au 2 for emergence kama boxer zote chafu. Kwahiyo hao unaowaona sio kua hawana boxer ni dharula tu imetokea. ( Hii ni kwa wale mabachelor ndio wahanga wakubwa tatizo la boxer).
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜„
 
bukta inakupa hewa kunako makende,tofauti na boxer ambazo hazitoi mwanya wa kupita hewa pia ukivaa bukta dushe linapata nafasi ya kukua na kunawili vizuri
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜€πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jamani katika kitu kinachoniuzi ni kumuona mwanaume kavaa li bukta la kuchezea mpira ndani ya suruali yaani nakereka kuliko maelezo embu fikiria unakutana na mkaka kavaa kapendeza yaani yuko smart kuliko maelezo alafu kavaa libukta la mpira hivi wenzangu mnajisikiaje?

Kwanini mtu usivae boxer yako nzuri ya cotton uvae ndo utoke zako? Kuliko kuvaa hiyo mibukta inawafanya mtune utasema mmebeba mafurushi, hebu acheni hiyo tabiaaa bwana, huo ni uchafu, usmart wa mwanaume upo kwenye boxer na sio kuvaa mabukta kama mnaenda mpirani.

Alafu hamna kitu kizuri na kinachopendeza kama kumkuta bwana ako kavaaa boxer yaani unakuwa hata comfortable kumvuaa nguo sasa ukikuta mtu kavaa mipensi stimu zote zinakata.

Huyo n wakwako t bhana, pia uache kutoka na wanaume wa kakonko huko, ww unaenda mnadani unakutana na mchuuzi wa Ng'ombe ana kutongozwa na unampa, saa ngapi anunue boxer.
 
Back
Top Bottom