Hivi inakuwaje mwanaume unavaa bukta ya kuchezea mpira ndani ya suruali badala ya boxer?

Jamani katika kitu kinachoniuzi ni kumuona mwanaume kavaa li bukta la kuchezea mpira ndani ya suruali yaani nakereka kuliko maelezo embu fikiria unakutana na mkaka kavaa kapendeza yaani yuko smart kuliko maelezo alafu kavaa libukta la mpira hivi wenzangu mnajisikiaje?

Kwanini mtu usivae boxer yako nzuri ya cotton uvae ndo utoke zako?kuliko kuvaa hiyo mibukta inawafanya mtune utasema mmebeba mafurushi, hebu acheni hiyo tabiaaa bwana,huo ni uchafu ,usmart wa mwanaume upo kwenye boxer na sio kuvaa mabukta kama mnaenda mpirani.

Alafu hamna kitu kizuri na kinachopendeza kama kumkuta bwana ako kavaaa boxer yaani unakuwa hata comfortable kumvuaa nguo sasa ukikuta mtu kavaa mipensi stimu zote zinakata
Na nyie muache kuvaa masidiria....yanakera
 
Who are you kuwapangia wanaume namna ya kuvaa. Yani mi nivae ili kukufurahisha, really? U can't be serious hayo mambo mwambie bwanako na ikikupendeza mwambie mzee wako na kaka zako. Shwain.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom