Hivi inakuwaje mwanaume unavaa bukta ya kuchezea mpira ndani ya suruali badala ya boxer?

Bwana angi hawezi kuvaa hizo nailoni mkuu boxer namnunuliaa mwenyewe ,namfuliaa mwenyewe na nampangiaa ya kuvaaa mwenyewe so hawezi kujijaladiaa mwishowe anuke berries bure
Kama iv
IMG_20210110_114828_766.jpg

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Jamani katika kitu kinachoniuzi ni kumuona mwanaume kavaa li bukta la kuchezea mpira ndani ya suruali yaani nakereka kuliko maelezo embu fikiria unakutana na mkaka kavaa kapendeza yaani yuko smart kuliko maelezo alafu kavaa libukta la mpira hivi wenzangu mnajisikiaje?

Kwanini mtu usivae boxer yako nzuri ya cotton uvae ndo utoke zako?kuliko kuvaa hiyo mibukta inawafanya mtune utasema mmebeba mafurushi, hebu acheni hiyo tabiaaa bwana,huo ni uchafu ,usmart wa mwanaume upo kwenye boxer na sio kuvaa mabukta kama mnaenda mpirani.

Alafu hamna kitu kizuri na kinachopendeza kama kumkuta bwana ako kavaaa boxer yaani unakuwa hata comfortable kumvuaa nguo sasa ukikuta mtu kavaa mipensi stimu zote zinakata
Kuna bukta na pensi na sisi wavaaa pensi unatuzungumziaje
 
Ni kupe tu siri kwa mwanaume ili awe comfortable lazima avae boxer kisha bucta na lazima avae singlend kisha shat

Ila kwa wale wenye vibamia inashauriwa wavae bucta tu ili gravitational force ivute mashine irefuke
 
Kuna kikaul kimoja ety inakua rahis kumvua nyambafu wakati nyinyi mnao vaa vibeg mgongon. Mnasumbuaa nyauuuu
 
Me nisipo vaa boxer Na bukta sijiskii aman kwakweli coz kuna wanaume wakiinama unakuta mkolongo unaonekana kashusha Na mlegezo, me ntaava bukta kama kawaida Na ntakuguaa vizuri tu
 
Me nisipo vaa boxer Na bukta sijiskii aman kwakweli coz kuna wanaume wakiinama unakuta mkolongo unaonekana kashusha Na mlegezo, me ntaava bukta kama kawaida Na ntakuguaa vizuri tu
 
Jamani katika kitu kinachoniuzi ni kumuona mwanaume kavaa li bukta la kuchezea mpira ndani ya suruali yaani nakereka kuliko maelezo embu fikiria unakutana na mkaka kavaa kapendeza yaani yuko smart kuliko maelezo alafu kavaa libukta la mpira hivi wenzangu mnajisikiaje?

Kwanini mtu usivae boxer yako nzuri ya cotton uvae ndo utoke zako?kuliko kuvaa hiyo mibukta inawafanya mtune utasema mmebeba mafurushi, hebu acheni hiyo tabiaaa bwana,huo ni uchafu ,usmart wa mwanaume upo kwenye boxer na sio kuvaa mabukta kama mnaenda mpirani.

Alafu hamna kitu kizuri na kinachopendeza kama kumkuta bwana ako kavaaa boxer yaani unakuwa hata comfortable kumvuaa nguo sasa ukikuta mtu kavaa mipensi stimu zote zinakata
Nice talking
 
kuna tatizo?
 
Back
Top Bottom