FatherOfAllSnipers
JF-Expert Member
- Mar 13, 2019
- 1,638
- 4,209
Mwanamke kabisa unachukua Tishu unaenda chooni,
ukirudi unakaa na watu kabisa, tena unajisikia amani.
So sad!
ukirudi unakaa na watu kabisa, tena unajisikia amani.
So sad!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mke wangu hawezi fanya Huo ujinga, labda awe kahaba wangu, lakini siyo mke wangu.Mkuu si ungemuambia tu shem ukweli kuliko kulalamika huku? Inatuchukua muda mada kuipata
Shida ipo wapi akienda na Tissue ?Mwanamke kabisa unachukua Tishu unaenda chooni,
ukirudi unakaa na watu kabisa, tena unajisikia amani.
So sad!
Acha ujinga basi, unaenda na Tishu halafu unaacha kuflash upumbavu wako.Kwahiyo ni bora kujirushia rushia maji, nisijikaushe nirudi kukaa na mimaji maji?
Ama kweli na we itakuwa unajiona doctor?
UTI zitaisha kweli kwa namna hii?
AnashangazaKwahiyo ni bora kujirushia rushia maji, nisijikaushe nirudi kukaa na mimaji maji?
Ama kweli na we itakuwa unajiona doctor?
UTI zitaisha kweli kwa namna hii?
Hahahaha kwa kweli hakuna namnaSawa,.tutaenda na vigunzi vya mahindi..
Au tufanyaje etii....lolHahahaha kwa kweli hakuna namna
Kwa kweli aje atueleze kwa uelewa wake yeye tishu ina kazi gani chooniAu tufanyaje etii....lol
Em mwambie atuambie...Kwa kweli aje atueleze kwa uelewa wake yeye tishu ina kazi gani chooni
Siwezi kwenda choo kisichoweza kuflush au ambacho hakina maji.Acha ujinga basi, unaenda na Tishu halafu unaacha kuflush upumbavu wako.
Kuna watu nashindwa kuwaelewa kabisa.Anashangaza
yy huwa anajiosha na yake maji yanayopatikana msalani au huwa anaenda na maji yakeMke wangu hawezi fanya Huo ujinga, labda awe kahaba wangu, lakini siyo mke wangu.