Hivi inakuwaje mwanamke unaenda na Tishu msalani

Mkuu si ungemuambia tu shem ukweli kuliko kulalamika huku? Inatuchukua muda mada kuipata
 
Kwahiyo ni bora kujirushia rushia maji, nisijikaushe nirudi kukaa na mimaji maji?
Ama kweli na we itakuwa unajiona doctor?
UTI zitaisha kweli kwa namna hii?
Acha ujinga basi, unaenda na Tishu halafu unaacha kuflash upumbavu wako.
 
Back
Top Bottom