Hivi inakuwaje mwanamke unaenda na Tishu msalani

Mm ni jinsia ya me lkn nikienda chooni hasa ninapokuwa ofisini badaa ya kujiswafisha napenda kujikausha na Tissue inasaidia kutobaki nimelowesha suruali au boxer kulowa, lkn pia sometimes kabla ya kujisaidia nasafisha choo then nafuta na Tissue hasa km choo ni cha kukaa sasa wewe mtoa mda kaa na mauchafu yako
 
Hakuna kitu kinaboresha usafi kama matumizi ya wipes, maji na tissue
Unafuta uchafu na unabaki mkavu
 
Kwahiyo ni bora kujirushia rushia maji, nisijikaushe nirudi kukaa na mimaji maji?
Ama kweli na we itakuwa unajiona doctor?
UTI zitaisha kweli kwa namna hii?
Huwa nawacheka Watanzania kujiona wasafi kwa hiyo mimaji lakini ndiyo imesababisha UTI kuwa common, hawajiulizi kwa nini huo ugonjwa haujulikani kwenye nchi ambazo tissues/wipes ndiyo hutumika zaidi.
 
Huwa nawacheka Watanzania kujiona wasafi kwa hiyo mimaji lakini ndiyo imesababisha UTI kuwa common, hawajiulizi kwa nini huo ugonjwa haujulikani kwenye nchi ambazo tissues/wipes ndiyo hutumika zaidi.
Thank you

Fungus na UTI ndo mteja wa maji hayo
Hawajui tu
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom