TheChoji JF-Expert Member Joined Apr 14, 2009 Posts 6,767 Reaction score 20,870 Nov 4, 2013 #21 ^pia siku nikishinda ofisini waala hamna mtu anaenitafuta. ngoja niwe sipo.. wee simu zitamiminika hizoo.. sijui ni kwanini
^pia siku nikishinda ofisini waala hamna mtu anaenitafuta. ngoja niwe sipo.. wee simu zitamiminika hizoo.. sijui ni kwanini
Mtoboasiri JF-Expert Member Joined Aug 6, 2009 Posts 5,100 Reaction score 1,955 Nov 4, 2013 Thread starter #22 TheChoji said: ^pia siku nikishinda ofisini waala hamna mtu anaenitafuta. ngoja niwe sipo.. wee simu zitamiminika hizoo.. sijui ni kwanini Click to expand... Kuna mvuta sigara ananiambia kuwa anapongojea basi/daladala likachukua muda mrefu na anaposema tu acha niwashe sigara yangu na basi hilooooo!
TheChoji said: ^pia siku nikishinda ofisini waala hamna mtu anaenitafuta. ngoja niwe sipo.. wee simu zitamiminika hizoo.. sijui ni kwanini Click to expand... Kuna mvuta sigara ananiambia kuwa anapongojea basi/daladala likachukua muda mrefu na anaposema tu acha niwashe sigara yangu na basi hilooooo!