Hivi inakuwaje mtu mzima na akili timamu anaenda kwa mganga wa kienyeji

Huyo kaweka tegemeo lake kwenye ndumba....sijui wewe mwenzangu tegemeo lako umeweka wapi.
 
kuloga kuna faida
nisingekuwa naloga ningekuwa nasugua benchi mpaka leo

ni imani tu kama anaeamini kanisani au msikitini
Umeolewa?kama bado nicheki pm tuyajenge mana naona tunaendana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Katika Maisha haya nimewahi kuwa na marafiki wengi ila kwa vipindi tofauti tofauti ila huyu wa sasa sijamuelewa kabisa. Yani mshikaji wangu huyu kila kitu kikitokea yeye Huwaza ni ushirikina.

Basi juzi aliniaga anaenda mahali ila hakuniambia ni wapi jana katika kupiga piga stori mara akaniambia alienda kwa mganga eti Kuna mtu anachezea nyota yake daaaaaa nilimsikitikia maana sikutegemea kama msomi na kijana kama yeye bado atakuwa gizania kiasi hiki.

Mi naelewa kuwa mafanikio nimatokeo ya namna unavyojituma ila sio ndumba wala ushirikina. Je wewe unaamini mambo ya waganga au kuloga
Nasubiri conclusion yako baada ya kuwa umepata majibu mengi.
 
Mume ninae na mchepuko wa kudumu yupo

Labda ujisogeze Kama temporary
Dah kwa stahili hii mume tuseme na yeye ana mchepuko ..mchepuko wa mume wako na wenyewe umeolewa au una mpenzi. Mume/mpenzi wake na huyo na mchepuko wa mumeo ana mchepuko wake ambapo huo mchepuko wake una mpenz/mke wake uko ..na wewe una mchepuko wako wa kudumu ambao na wenyewe utakuta una mke/mpenzi wake ..na mke/mpenzi wa mchepuko wako na yeye ana mchepuko wake wa kudumu ..na kuhusu status yako ya afya mkuu mtakuwa salama kweli???
 
ukinifuatilia mimi unapoteza muda ambao ungeweza kufanya mambo ya msingi zaidi
 
Katika Maisha haya nimewahi kuwa na marafiki wengi ila kwa vipindi tofauti tofauti ila huyu wa sasa sijamuelewa kabisa. Yani mshikaji wangu huyu kila kitu kikitokea yeye Huwaza ni ushirikina.

Basi juzi aliniaga anaenda mahali ila hakuniambia ni wapi jana katika kupiga piga stori mara akaniambia alienda kwa mganga eti Kuna mtu anachezea nyota yake daaaaaa nilimsikitikia maana sikutegemea kama msomi na kijana kama yeye bado atakuwa gizania kiasi hiki.

Mi naelewa kuwa mafanikio nimatokeo ya namna unavyojituma ila sio ndumba wala ushirikina. Je wewe unaamini mambo ya waganga au kuloga
Naomba unijibu haya maswali mawili tu halafu utapata majibu ya maswali yako unayojiuliza kila siku.

1. Unaamini Mungu yupo?

2. Unaamini shetani yupo?
 
Katika Maisha haya nimewahi kuwa na marafiki wengi ila kwa vipindi tofauti tofauti ila huyu wa sasa sijamuelewa kabisa. Yani mshikaji wangu huyu kila kitu kikitokea yeye Huwaza ni ushirikina.

Basi juzi aliniaga anaenda mahali ila hakuniambia ni wapi jana katika kupiga piga stori mara akaniambia alienda kwa mganga eti Kuna mtu anachezea nyota yake daaaaaa nilimsikitikia maana sikutegemea kama msomi na kijana kama yeye bado atakuwa gizania kiasi hiki.

Mi naelewa kuwa mafanikio nimatokeo ya namna unavyojituma ila sio ndumba wala ushirikina. Je wewe unaamini mambo ya waganga au kuloga
Yeye endelea na uzuzu wako siku yakija kukufika ndo utajua hujui.
 
Back
Top Bottom