Ulipona huko kuwaka moto.hivyo Ni vidonda vya tumbotangu niumwe miguu chin ya unyayo naenda hospital napewa dawa zile zile kila siku acha tu maumivu ya giza usiombee
Unasugua benchi kivipi, benchi gani hebu toa ufafanuzikuloga kuna faida
nisingekuwa naloga ningekuwa nasugua benchi mpaka leo
ni imani tu kama anaeamini kanisani au msikitini
Kaah vidonda vya tumbo tenaa😅😅😂Ulipona huko kuwaka moto.hivyo Ni vidonda vya tumbo
Yeah miguu inakua inawaka Moto...na kiuno kinakua kizito..tumbo linajaa gesiKaah vidonda vya tumbo tenaa😅😅😂
Waulize mawarizi walioenda kwa kikombe cha babu watakujibuKatika Maisha haya nimewahi kuwa na marafiki wengi ila kwa vipindi tofauti tofauti ila huyu wa sasa sijamuelewa kabisa. Yani mshikaji w
Nimiguu tu mwili wote ni mzimaaYeah miguu inakua inawaka Moto...na kiuno kinakua kizito..tumbo linajaa gesi
Kwa mtu mwenyewe unayeenda kuroga anaishi kwenye kibanda cha nyasi.........tembelea Tunduma, Mbozi wale waliokuwa matajiri wakubwa kwa kuroga, hata nyumba zilizojengwa kwa hela ya ndumba nayo huwa inabomoka...ni suala la muda tukuloga kuna faida
nisingekuwa naloga ningekuwa nasugua benchi mpaka leo
ni imani tu kama anaeamini kanisani au msikitini
kwa Mungu ndio wapi huko zote ni aina za kishirikinaMganga ni nani?
Kwa mganga kinafanyika nini?
Je, ni mgonjwa au mtu mzima mwenye kumuhitaji mganga?
Bila shaka mtu mzima hamuhitaji mganga ila yule mgonjwa
YOTE NI UBATILI, Njoo KWA MUNGU