Mariki boy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 360
- 1,143
Species of the same Cultivur vumilia tuu Mkuu kama Baba yako alivyo vumiliaHahaahaa nakumbuka nilikua nasumbua nyumbani mpaka nikawa kero kwelikweli..nlikuwa mtu nsiependa shule mtaa mzima..lkn matokeo yakija top three nlikuwa sikosi..nakumbuka nlikuwa napewa zawadi shule kila mwisho wa mwaka..mzee akawa akinipa kisago anasema najisahihishia mitihan..nakumbuka nliwahi Rudi na zawadi ya madaftari na peni mshua akanipa kisago akasema bila Shaka umeibia wenzio..kumbe nimepewa zawadi..Sasa kimbembe Nina watoto wawili now huyu mmoja mpaka kichwa kinauma yan nikimaliza siku mbili bila kesi nashukuru sana ..maana wiki iliyopita kamwagia masofa maji ya betri yan unamnyuka anamwambia haiumi..
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app