Hivi inakuwaje kwenye kila familia kuna mtu mmoja anayesumbua sana?

Da yaani km kwetu tupo 3 ila dogo wa pili kichomi balaa, sio kesi ,sio kuzalisha mtaani ....yaan nitafrani hiyo yote inasababishwa na roho za miungu ya mababu inakuwa inafatilia
Tena ukichunguza ni wale waliooewa majina ya mababu ya kurithi yanapelekea kueatumikisha na kiwa natorious

Sent using i phone x
 
sisi tupo watatu,sasa anaenifata nikampigia cm nikamwambia"mpe mzee elfu 50 nitakurudishia baada ya wiki 1"dogo akasema poa,

yeye sasa akabadirisha picha,akamwambia mzee hivi "kaka nimemwambia akutumie elfu 50 alafu mm ntamrudishia"mzee akamjibu sawa,

Mzee ananipigia simu ananiuliza "mbona hutumi hela na muda unaenda"nikamuuliza hujapewa na dogo akasema mdogo wako kasema ww ndo utanitumia hela,
Ikabidi nijiongeze fasta nikatuma ili nisimuonyeshe mzee kama dogo kafanya uhuni kubadilisha maagizo yangu

Huyo mdogo wangu ni mtata alafu hajali wazazi wetu na pesa anazo za kutosha lkn hana msaada hata kidogo kwa wazee wake,hana mtoto wala mke ni kujirusha tu mshenzi huyu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yan jana tu nmetoka kutukanwa na kaka...yan huyo anataka akihitaji pesa utume...usiseme huna

Majuzi alikuwa anadaiwa kodi akataka pesa....mbona tulitukanwa kwakuwa htujamtumia

Yn yeye familia yake ikikosa chkula anapiga cm...akiwa na shds anpga sim

Ila naamini n hpo kweny kunpa mtot majina y kurith...

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh Noma Sana

Lakini Sio lazima kiivyo
Sasa Mpk mtu anakutukana Mkuu
As if ni jukumu lako kumpa hela
 
daah nafarijika kuona kumbe hizi changamoto hazipo huku kwetu tu. kumbe ni sehemu/familia nyingi sana
sisi tupo watatu,sasa anaenifata nikampigia cm nikamwambia"mpe mzee elfu 50 nitakurudishia baada ya wiki 1"dogo akasema poa,

yeye sasa akabadirisha picha,akamwambia mzee hivi "kaka nimemwambia akutumie elfu 50 alafu mm ntamrudishia"mzee akamjibu sawa,

Mzee ananipigia simu ananiuliza "mbona hutumi hela na muda unaenda"nikamuuliza hujapewa na dogo akasema mdogo wako kasema ww ndo utanitumia hela,
Ikabidi nijiongeze fasta nikatuma ili nisimuonyeshe mzee kama dogo kafanya uhuni kubadilisha maagizo yangu

Huyo mdogo wangu ni mtata alafu hajali wazazi wetu na pesa anazo za kutosha lkn hana msaada hata kidogo kwa wazee wake,hana mtoto wala mke ni kujirusha tu mshenzi huyu,

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenigusa yaani nilikuwa nasumbua balaa si nyumbani si shuleni Ila watukutu uwa tunatoboa maisha mnajifanya wapole mwishowe tunawazidi pesa na ujanja mtaani.
Kuna watu wanakua wasumbufu ila kichwani zimo. Kuna wengine sasa wanasumbua balaa na akili hawana sasa ndio inakua shida mara mbili. Hasa inapotokea msumbufu halafu aongezee ulevi/bange/madawa yaani inakua kaazi kweli kweli kwa familia. Mimi nina mifano ya familia 4 za karibu kabisa (watoto wa baba wakubwa/wadogo) yaani kila moja ina mtu wa kuwasumbua. Kwenye familia yetu alikua ni bro wangu ila sasa kabadilika kawa malaika.
 
Back
Top Bottom