Hivi ile story kuhusu hiki kiumbe ni kweli? Je ndio hiki?

THE STORY BOOK 📖
Waafrika mna shida sana,
Nenda katafute maarifa aisee Kuna Mambo makubwa yatakushangaza kuhusu hii dunia,hapo Lebanon Kuna uwanja wa ndege za Anunnak una malaki ya miaka na wagunduzi waliweka mpaka makala, humu ipo
Pia Kuna masites kibao yanazidi gunduliwa na watafiti Leo hii inaonesha pyramids sio makaburi ya faraos Ni plasma generators za kale zilitumika Kama power plant za anunnak na Nikola Tesla alipata data zilizomwezesha kufanya inventions za umeme wa AC na yeye ndie alieyesema pyramids Ni power plants za kale wakambishia leo watafiti wanakubaliana nae baada ya uchunguzi kuendeshwa kisasa,
Kuna Mambo mengi Bara la Giza hamjui na wanaojua ndio wanakuja na gunduzi za kustaajabisha,
Hivi unaona kwa akili zako kwa binadamu wa Leo walivyo vilaza wanaendana na Kasi ya sayansi na teknologia bila msaada wa nguvu fulani?
Bila Shaka hakuna gunduzi ngeni Ila wanacopy za kale ustaarabu uliopotea wa Anunnaki na hakuna mwenye akili timamu na mfuatiliaji wa Mambo atapinga hili!
 
Mkuu nionyeshe wapi nimepinga kwenye comment yangu
 
Nawasalimu wakuu.

Kuna hii habari ya muda mrefu miaka mingi kuhusu hiki kiumbe cha ajabu, ambapo mpaka leo jibu la uwepo wake ni utata.

Ni kuhusu huyu samaki mtu (nguva) inasemekana yupo katika ulimwengu huu, ila yupo katika umbo gani hapo ndo mtihani kwa maana kila mtu atakupa jibu lake.

Sasa kuna ile clip iliyo trend sana katika vichwa vya habari Duniani zaidi ya miaka 10 iliyopita. Video ikiwa imerekodiwa na watalii wakiwa pembezoni mwa fukwe ya bahari huko Kiryat Ya nchini Israel, waliona kiumbe cha ajabu kikiwa juu ya mawe. Katika hali ya kujiuliza ni nini kile ghafla kikawaona na kuishia kwenye maji.

Je, ndio huyo samaki mtu?

Bado habari ya samaki mtu itaendelea kuwa utata usioisha.

Nawasilisha.

Ni mastory ya town tu
 
Hiyo ni hekaya kama ya mageuzi na akina abunuasi.
 
Kama unaamini uwepo wa nguva you might as well amini Zumaridi alifika mbinguni
 
Walio bahatika kusoma na kupitia tablet za Sumerian na gods wao,wanajua mermaid Ni viumbe waliotengenezwa kwenye maabara za Anunnak hapo kale wakiwemo na bullman hayo yalikua Ni majaribio ya kumtengeneza super humanoid awasaidie kuchimba gold,
Angalieni kwenye michoro ya pyramids Kuna kiumbe Kama kichwa Cha Simba Ila kiwiliwili Cha mtu,hao Ni viumbe waliowahi exist hapo kale kabla ustaarabu wa Anunnak haujakoma baada ya great deluge,hao viumbe Kama mermaid wanahusishwa na lost Atlantis civilization,ustaarabu wa sayansi za Anunnak ambao Ni viumbe kutoka mbinguni according to mythology,

Mambo Ni mengi muda mchache kuelezea saga la Anunnak na sayans za cloning na manipulation!
Anunnaki waliumbwa na Nani mkuu?
 
Back
Top Bottom