Ila mkuu wewe ni mbaguzi sana , huwa nasoma mada zako unapinga uislamu mno na hapa tena , ukipewa uongozi wa juu unaweza chinja usioendana nao kabisa 🤔
Mkiambiwa ukweli 'chawa'Chawa kaa kimya tafadhali.
Kwa sababu sikuungi mkono!?..mimi nalima mkuranga,dumila na tabora,kote huko tulijiandikisha wakulima na ekari unazomiliki,Mazal unayolima na mahitaji yako ya mbolea kisha tukapewa namba ambazo huzitumia kupatia mbolea za ruzukuNgoja nimsubiri Choice...
Yeye anajua tulikoanzia, wewe naona unaleta siasa mkuu wangu.
Ulibaguliwa somalia?siyo kweli, labda ni misunderstanding tu, watu wengi hawaupendi ukweli na wanukwepa, kama wewe nimekuuliza maswali ya msigi lkn haunijibu unaishia kuita ''ubaguzi'' lkn unakataa kujibu kwa nini unaona ni sawa labda wewe kubaguliwa na wengine lkn siyo sawa kwako kujiweka kwanza? kwa nini wengine wakukatae kwao halafu wewe uwakubali kwako? maswali kama hayo siyo ubaguzi bali ni mwanzo wa kujitambua ...
Ulibaguliwa somalia?
Ukweli wa bei hiyo?Mkiambiwa ukweli 'chawa'
https://share.google/aimode/eHOnIXs913G7ZTMTGhata sijawahi kufika na wala hawana uwezo wa kunibagua hao barbaria ...
Mimi nimenunua mifuko 25 ya mbolea kama namba yangu ya ruzuku inavyoruhusu kwa bei ya 75k,tena hizo ni dap na urea,npk ni chini zaidi,mimi sipendelei npk kwenye mpungaUkweli wa bei hiyo?
Hapa ndio mjadala wangu na choice ulianzia...Bila ruzuku bei ya mbolea ni mara mbili
Ule ulikuwa wizi wa mchana nashukuru Mungu yule mwehu alitolewa wozaraniNadhani ni yule sunk cost fallacy sijui sa hivi anatumia ID gani, na mi nishawahi kukesha nae hapa 😅
Wanatakiwa kuelewa wakosoaji hawana nia mbaya, Tunaonea huruma kodi zetu tu.
Hela zetu?Ule ulikuwa wizi wa mchana nashukuru Mungu yule mwehu alitolewa wozarani
Kuna mtu kadanganya kuhusu mbolea ya ruzuku, tulikua tunawekana sawagallow bird inaonesha wala hujui huu mjadala unahusu nini na hiyo BBT lengo lake lilikuwa nini.
Serikali haina uwezo wa kubeba gharama hizo,inunue mfuko wa mbolea kwa 150k kisha imkopeshe mbolea mkulima isubiri miezi 12+ kupata pesa yakeHapa ndio mjadala wangu na choice ulianzia...
Kama lengo la serikali ni kumsaidia mkulima, hiyo ruzuku ilipaswa iwe kwenye mkopo...
Wakulima wengi wa tumbaku hawana uwezo wa kununua mbolea kwa Cash...
Ruzuku imetumika kama daraja kuwanufaisha wafanya biashara wa mbolea(sponsors wa sasa wa chama) na kumyonya mkulima asiye na kitu....
Bahati mbaya wabunge wa Tabora hawanaga msaada kwa mkulima wa tumbaku.
Unakuwaga kichwa maji!Ukweli wa bei hiyo?
Ile ni. Moja ya miradi mingi ya upigaji inayoanzishwa na wanasiasa wa ccmNani anaweza kutupa mrejesho kuwa ule mradi wa uwekezaji kwenye Kilimo Al maarufu kama "Build Better Tomorrow -BBT" matokeo yake yamekuwa chanya au hasi Kwa kiasi gani?
Nani anaweza kutupa mrejesho kuwa ule mradi wa uwekezaji kwenye Kilimo Al maarufu kama "Build Better Tomorrow -BBT" matokeo yake yamekuwa chanya au hasi Kwa kiasi gani?
Tusifukue makaburi jamaniNani anaweza kutupa mrejesho kuwa ule mradi wa uwekezaji kwenye Kilimo Al maarufu kama "Build Better Tomorrow -BBT" matokeo yake yamekuwa chanya au hasi Kwa kiasi gani?
Makaburi yapo wazi kama yale ya shakahola.Tusifukue makaburi jamani