ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,768
- 88,935
Inaendelea tena ziko BBT nyingi tuu Mpya mfanoNani anaweza kutupa mrejesho kuwa ule mradi wa uwekezaji kwenye Kilimo Al maarufu kama "Build Better Tomorrow -BBT" matokeo yake yamekuwa chanya au hasi Kwa kiasi gani?
naam post za kwanza za kukaribia mavuno zilivyopostiwa pale twita zilishambuliwa vibaya sana na wakulima nakumbuka walipost mpunga na alizeti, wadau walisema haiwezekani mtumie mashine na wataalamu alafu mimea iwe hivyoUlianza vizuri kivipi... Ule mradi ulianza hovyo Sana kama miradi yote ya kimagumashi ilivyo.
mkuu mambo yangekua mazuri kama yalivyopangwa kungekua hakukaliki aiseeInaendelea tena ziko BBT nyingi tuu Mpya mfano
-BBT mifugo
-BBT Uvuvi
-BBT Madini
Kwa nini kusikalikemkuu mambo yangekua mazuri kama yalivyopangwa kungekua hakukaliki aisee
Saivi Bashe ana shamba kama kijiji huko TaboraMachawa na watetezi bila kujua walitupinga sana, tuliwaambia bashe anapiga pesa, tukaonekana ni pinga pinga.
Wanasiasa wa tz ni wezi, halafu wakatili mnoo.
Miradi ya upigaji!Nani anaweza kutupa mrejesho kuwa ule mradi wa uwekezaji kwenye Kilimo Al maarufu kama "Build Better Tomorrow -BBT" matokeo yake yamekuwa chanya au hasi?
Unfortunately! 😩Wao wanahisi sie tuna chuki na serikali, hapana tunaona vibaya kodi zetu zinavyotumika..
Hizi ni mali za watz wote, zifaidishe watz wote, sio wahuni wachache.
toka mradi uanze umeshakua batch ngapi?Kwa nini kusikalike
Ni yeye! 🤣Huyo ni kunguni mwandamizi ana ID kama nyingi humu ngoja nimuite ChoiceVariable The Sunk Cost Fallacy @The Sunk Cost Fallacy 2
Ngoja aje!Anatumia ChoiceVariable aka Dogo my take.
Ni yeye😄😀😆Ni yeye! 🤣
KmmkeSaivi Bashe ana shamba kama kijiji huko Tabora
Hivi nyie CCM huwa mnatumia akili Kujibu hoja? BBT ilikuwa kuhusu Kilimo, Sasa hapa madini yameingiaje?Inaendelea tena ziko BBT nyingi tuu Mpya mfano
-BBT mifugo
-BBT Uvuvi
-BBT Madini
Umesema ukweli kabisa! Fisiem ni laana kubwa sana. Project ngapi zimeanzishwa na zote zimekufa na watu wametajirika kishenzi. Kilimo kwanza Iko wapi? Upuuzi mtupu!😱😱😱😱 CCM ni laana. Na watanzania tumeshasahau. Project manager wakejuzi juzi alikuwa anajigamba kufanyia ng'ombe mazishi kama binadamu
Acha utapeli wewe kunguni wa buku 7.Inaendelea tena ziko BBT nyingi tuu Mpya mfano
-BBT mifugo
-BBT Uvuvi
-BBT Madini
Hii mtafute Mzee Pinda kwenye misitu yake ya Asali na mabwawa yake ya kufugia kambale atakupa majibu.Kilimo kwanza Iko wapi?
Huo msiba watu watalishwa chakula kutokana na mazao yaliyotokana na BBT?Tupo Msibani kwa sasa.
Ndio.Huo msiba watu watalishwa chakula kutokana na mazao yaliyotokana na BBT?