Hivi ile ndege ya rais inapiga kazi?

Freddy81

Member
Feb 3, 2009
99
3
Habari wana JF,
Mimi lengo langu kuu ni kutaka kujua ile ndege ambayo Mr. Ben aliinunua wakati wa mwishomwisho wa utawala wake inafanya kazi au ndo hivyo ipo juu ya mawe? Kuna tetesi kuwa hiyo ndege haifanyi kazi..sina uhakika.
Kama kuna mwana JF ajua kuhusu hili basi aliweke hadharani.
Tujulishane basi kama ni bovu au zima.
Na je? Jamaa akiwa zake katika sfari za kikazi huwa anaitumia?
 
Nenda pale eapoti, utakuta imefunikwa na turubai. Sijawahi kuona ndege inayofanya kazi imefunikwa na turubai.
 
Huwa inafanya kazi ! ila nina muda sijaiona huenda ipo kwenye matengenezo fulani ya kawaida!
 
Nenda pale eapoti, utakuta imefunikwa na turubai. Sijawahi kuona ndege inayofanya kazi imefunikwa na turubai.
Pino acha utani wewe,kwani hujaona magari mjini yanafunikwa turubai na yanachapa mzigo kama kawa,wanaifunika isije nyewa na kunguru,coz ipo very alergic na kinyesi chao,inaweza ota majipu ikinyewa na hao kunguru!!
 
Sasa Hiyo Itawasaidia Nini??

Kwani rais ni wa nini?
Na anamsaidia nani?
Mwisho utauliza hata familia ya rais itatusaidia nini..!

Ngoja nikucheze:
Anything about the president has got a country -attention!

...sa we endelea na viswali vyako...!
 
mmeshadai ile Ndege ya Raisi Ben! sasa nini tena mnauliza hapa wakati dege ni la Ben na si lenu????Yesu Kristo alisema"Msinililie Mimi Bali Jililieni na families zenu" mmesahau hata maandiko??
Tuacheni utani ndege ni ya BenJamin!
kwani hujui ni pesa zetu tunauliza? Na Kama ni bovu tununue nyingine au vipi
 
Sasa Hiyo Itawasaidia Nini??

-ni jukwaa la uwazi, si vibaya kama mtu anataka kujua nini kuhusu "mali ya serikali", na ukilinganisha bei waliyoinunuia ni ghali hivyo je inafanya kazi au ndo pesa ilitupwa shimoni!!
-pia hata kama mtu ana maswali ambayo ni pumba, ana uhuru wa kuuliza!!
 
Aliyeanzisha hii thread hajadai kama ni ndege ya Tanzania... alidai Ndege ya Mkapa, so what?? ni ya mkapa! Just forget about It! Huna nguvu ya Kuidai Maana sidhani hata JK kaa alishawahi! Anyway Ni wazo Zuri tu.Vipi Zile Billioni 22 zilishapatikana? Teh Teh Teh!
 
Nenda pale eapoti, utakuta imefunikwa na turubai. Sijawahi kuona ndege inayofanya kazi imefunikwa na turubai.

Ule ulikuwa ni ufisadi mwingine wa fisadi Mkapa. Wakati amebakiza miezi mitatu kumaliza awamu yake anafanya maamuzi ya kununua ndege tena ndege yenyewe bomu. Maskini Tanzania!
 
Back
Top Bottom