Ligaba
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 1,045
- 2,821
Mnaojua sheria maomba msaada katika hili. Nilikuwa na kesi ya wizi na kukabwa mtaani, kesi iliisha kwa mtuhumiwa kufungwa miezi sita kwa kila kosa, kwa makosa mawili au kila kosa fine ya Tsh. 150,000/= ambayo mkosaji alilipiwa. Vilevile alitakiwa kulipa fedha alizochukua wakati wa tukio na simu aliyochukua jumla ikiwa 2,750,000/=.
Tangu ipite hukumu huu ni mwezi wa 5 na sioni dalili kama atalipa ndani ya miezi 6 aliyotakiwa na mkosaji hana mali za thamani ya fedha anazopaswa kulipa. Swali langu kwenu wanasheria, ikiwa muda umeisha na hajalipa ni nini kitatokea kwa mkosaji au napaswa nifanye nn ili niipate haki zangu?
Sent using Jamii Forums mobile app